Wanaume 'players' wana nguvu ya hoja kiasi kwamba mwanamke hapangui mbele yake

Kwasababu the so called bad boys Wana muonekano mzuri (ma-handsome) cacutee
Huyu hata sio mzuri sanaaaa Ila ana mvuto flan hivi (charm)
He can calm a woman in a way hata awe amechukiajee anafarijika
Achaa
 
Sasa ajabu sio kwenye sex Ila the way ana act akiwa around...
Kuna wanaume hata kabla ya sex wanavutaaa asee acha kabisa
 
Tena anaetoa mimba ni mbaya kuliko single mother, mtu anaua kiumbe chake kisicho na hatia, atashindwa kukuua wewe ambaye waweza kumkosea?
Kuna kaukweli ila ni kakutafuta.
 
Me ntasema ni confidence, mwanaume akishakuwa na uhakika kwamba huyu hata akienda ni sawa, inakuwa pigo sana kwa mwanamke.
 
Yaani naona bora nihamie huko tu nibadili upepo, nimesoma maharishi mengi kuhusi good boy kwanza hata mademu hawatupendi kwa kuwa hatuwapigi matukio(tumepoa penzi halichangamki)
Pili kama huna demu ndio kabisaa hata kupata demu hupati inakuwa ngumu
Mmh unachoongea kina ukweli au unajipigia debe ,good boys kuwapata siku Hz imekuwa kazi Hadi tunatoka sadaka na kufunga
 
Ndomaana hatupendwi. Shule za mishenari zilitulea kipadri padri mno, tunafika chuo kikuu hatujui hata pa kuanzia, unapata demu, usipomchiti au kumfanyia ukatili, anakudharau.
Hakika,mtu umepata demu unasema hapa safi nakuwa nae huyu tu, kumbe mwenzio anakuona mwege eti hujachangamka, unajikuta umefanya kila kitu ila unaachwa! Ni huzuni sana kaka
 
Hakika,mtu umepata demu unasema hapa safi nakuwa nae huyu tu, kumbe mwenzio anakuona mwege eti hujachangamka, unajikuta umefanya kila kitu ila unaachwa! Ni huzuni sana kaka
Yaani ni shida kwakweli.
 
Tangulini mtu anaesimama katika unyoofu wa ki MUNGU na mtu aliesimama katika unyoofu wa kishetani wakawa pamoja,
Aisee vijana tujionee huruma sana wanawake wakuwa wake hakuna tena dunia ya sasa, zalisha then baki kulea mtoto ,ule bata tu ( ke + ndoa ) PIGENI CHINI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…