Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usitumie hasira tafadhali Mtumishi,Sitaki dharau na mwanamke atakula chuma ya kichwa awe na kipato ,sijui elimu sioni kama ataweza kuleta dharau kutokana na nilivyo siongei mara mbili kipogo tu
Ndo watu ambao hatuumwi Sasa jichanganye ujue hujui..😂Watu wa aina yako bora tuwaume yaishe, wooiii..!
Niko na Madini ya kiume sana ukiyaapply kama haikutoka moyon.. basi utaumia…maaana inawezekana mwamba nae ako nayo do ukashindwa kuyaimili😃Niongezee madini hapo pa kutotabirika tafadhali my dear..!!
Kunikosa kiaje wa kwetu?Wa kwangu Mimi, ilibaki hiiivi nikukose walaqhi'...!
Kuna kitu umefuta sehemu nakuja kuirudia umefuta.chap nani alikwambia ufutee??Carleen.... huyu manzi atakuwa wa chuga
Japo Kuna wanaume ni washenzi ila kukanyaga heshima yake haimpi mwanamke husika utukufuupo sahihi kabisa my dear,
Hili sijui kama litawahi kurudi kwenye nafasi yake tena..!
Umeona,ndo mpangoCha msingi ni kutokutabirika
Halafu huoneshi ugumu wowote kwenye maandishi yako unajua.! Unaonekana kalaini halafu kacheshi, kanadeeeka..!Niko na Madini ya kiume sana ukiyaapply kama haikutoka moyon.. basi utaumia…maaana inawezekana mwamba nae ako nayo do ukashindwa kuyaimili😃
Hehe..sawa wa kwangu🤗Sikuwa nimetambua hii I'd na nilikuwa naiona sana..!
Am in love with your warmly heart...Asante mom.BarikiwaPole mumie,
Nakuelewa vyema kwa uliyoyapitia, Mungu mwenyewe akuponye kipenzi changu..!