Wanaume, siyo wakati wote ni wa kuwalaumu wanawake, kuna wakati sasa ni wa kuutumia 'uanaume' wenu

Wanaume, siyo wakati wote ni wa kuwalaumu wanawake, kuna wakati sasa ni wa kuutumia 'uanaume' wenu

Sitaki dharau na mwanamke atakula chuma ya kichwa awe na kipato ,sijui elimu sioni kama ataweza kuleta dharau kutokana na nilivyo siongei mara mbili kipogo tu
Usitumie hasira tafadhali Mtumishi,
'chuma ya kichwa'..?
you sound so rude..!
 
Hayo ni matokeo!!! ukweli ni kwamba makosa hufanyika mwanzo kabisa wakati wa ujana moto.
Dawa hizi hapa kwa vijana
 
Niko na Madini ya kiume sana ukiyaapply kama haikutoka moyon.. basi utaumia…maaana inawezekana mwamba nae ako nayo do ukashindwa kuyaimili😃
Halafu huoneshi ugumu wowote kwenye maandishi yako unajua.! Unaonekana kalaini halafu kacheshi, kanadeeeka..!
 
Tatizo ni pale linaanza mke kapata kazi ila still mume anataka afanye kazi za home mfano kupika, kuosha vyombo sijui kufua kitu ambacho kwa mwanamke msomi na wakisasa ni ngumu

Inatakiwa kuwe na makubaliano, kumpunguzia mama majukumu labda kupata msaidizi wa kazi athawais migogoro ya rejareja haiepukiki
 
Back
Top Bottom