Wanaume, siyo wakati wote ni wa kuwalaumu wanawake, kuna wakati sasa ni wa kuutumia 'uanaume' wenu

Wanaume, siyo wakati wote ni wa kuwalaumu wanawake, kuna wakati sasa ni wa kuutumia 'uanaume' wenu

Tatizo ni pale linaanza mke kapata kazi ila still mume anataka afanye kazi za home mfano kupika, kuosha vyombo sijui kufua kitu ambacho kwa mwanamke msomi na wakisasa ni ngumu

Inatakiwa kuwe na makubaliano, kumpunguzia mama majukumu labda kupata msaidizi wa kazi athawais migogoro ya rejareja haiepukiki
Mazungumzo ya uwazi na kina yanahitajika kati ya pande zote mbili, wengi huwa hawasemi ukweli wanaenda lalamikia pembeni..!!
 
Upo sahihi Bro..!
Na kwa sasa hakuna kiumbe anapitia magumu kama kijana wa kiume wa kizazi hiki..!
Na kama umegundua wanaoongoza kulia hata humu ndani ni wanaume kuliko wanawake..!
Yeah, wanaume bado hatujakaa sawa na kuelewa ni jinsi gani tubadilike na vile dunia inataka tuishi.

Tulizoea "stay home wife", leo wote tunaamka 0500hrs, tunarudi jioni wote tumechoka, mezani wote tunaweka vipato vyetu....

..hapo kwenye vipato ndio kuna mkanganyiko mkubwa. Wife earns more than her husband, superiority/inferiority ndio inapochukua nafasi yake hapo.

Submissive wives wameenda na maji, sasa kila mtu anaweza kuota pembe akitaka.

Tumeambiwa tutumie akili kuishi na wanawake, and that's not so easy kwa kizazi hiki na vijavyo..
 
Nashindwa kukukoti Carleen.

Ok!siko soft kama nikiamua kuushirikisha ubongo😁😁

Maisha ni mafupi sana kufurahi muda wote ni Dawa sana…

Najua ni ngumu lakni ukizoea unakaa sawa tu😎
Usichukulie haya makorokocho siriaz.akija fresh asipokuja fresh tu nata na beat ingawa kunawakati unakuwa mpweke ***** mpka huruma…lakini hakuna namna maana unakuta unamuwazia mtu mema ya nchi kumbe yeye anawaza wali maharage…https://jamii.app/JFUserGuide!
 
Nashindwa kukukoti Carleen.

Ok!siko soft kama nikiamua kuushirikisha ubongo😁😁

Maisha ni mafupi sana kufurahi muda wote ni Dawa sana…

Najua ni ngumu lakni ukizoea unakaa sawa tu😎
Usichukulie haya makorokocho siriaz.akija fresh asipokuja fresh tu nata na beat ingawa kunawakati unakuwa mpweke ***** mpka huruma…lakini hakuna namna maana unakuta unamuwazia mtu mema ya nchi kumbe yeye anawaza wali maharage…JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala!
Haha, eti makorokocho kionee..!
enwei, thank you Maa,
Hapo nimekuelewa vyema sasa,
 
Back
Top Bottom