Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Si una jivunia ee😄😄Haha.
Phaller wangu mmoja wa kimataifa..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si una jivunia ee😄😄Haha.
Phaller wangu mmoja wa kimataifa..!
Ameen Mtumishi...!Hayo ni matokeo!!! ukweli ni kwamba makosa hufanyika mwanzo kabisa wakati wa ujana moto.
Dawa hizi hapa kwa vijanaView attachment 2272033
Mazungumzo ya uwazi na kina yanahitajika kati ya pande zote mbili, wengi huwa hawasemi ukweli wanaenda lalamikia pembeni..!!Tatizo ni pale linaanza mke kapata kazi ila still mume anataka afanye kazi za home mfano kupika, kuosha vyombo sijui kufua kitu ambacho kwa mwanamke msomi na wakisasa ni ngumu
Inatakiwa kuwe na makubaliano, kumpunguzia mama majukumu labda kupata msaidizi wa kazi athawais migogoro ya rejareja haiepukiki
Yeah, wanaume bado hatujakaa sawa na kuelewa ni jinsi gani tubadilike na vile dunia inataka tuishi.Upo sahihi Bro..!
Na kwa sasa hakuna kiumbe anapitia magumu kama kijana wa kiume wa kizazi hiki..!
Na kama umegundua wanaoongoza kulia hata humu ndani ni wanaume kuliko wanawake..!
Bastola Kama saidUsitumie hasira tafadhali Mtumishi,
'chuma ya kichwa'..?
you sound so rude..!
Na siku ukifilisika unaachwaSiku nikipata hela naoa....😁
Haha, eti makorokocho kionee..!Nashindwa kukukoti Carleen.
Ok!siko soft kama nikiamua kuushirikisha ubongo😁😁
Maisha ni mafupi sana kufurahi muda wote ni Dawa sana…
Najua ni ngumu lakni ukizoea unakaa sawa tu😎
Usichukulie haya makorokocho siriaz.akija fresh asipokuja fresh tu nata na beat ingawa kunawakati unakuwa mpweke ***** mpka huruma…lakini hakuna namna maana unakuta unamuwazia mtu mema ya nchi kumbe yeye anawaza wali maharage…JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala!
Suluhisho ni moja tuu...tugegeduane tuu jaa i bila haya mambo ya ndoaUkijishusha napo mwanaume anakuona kolo....bas ni shida tu
Aisee na ulivyo mpenzi wa threesome, naomba ukipata hizo hela unioe ili niwe najumuika nawe kwenye threesomeSiku nikipata hela naoa....😁
Kwenye uzi huu au mwengine ? SweetlipsKuna kitu umefuta sehemu nakuja kuirudia umefuta.chap nani alikwambia ufutee??
Nilijua tu majina kamaMwanangu mlevi mmoja nilikukosa hasa..!
Yeap', Chuga is my hood..!