Unayksema ni kweli. Lakini nafikiri matatizo yanaanzia mbali kabisa. Kwenye ile courtship na uchumba na mahusiano beforr ndoa ndo wengi wanapokosea.
Unapopata mwanamke, hata kama alikua na watu wengine befor you, ni muhimu kuformat hard disk ya akili ake na uweke ambayo inaendana na utaratibu wako. Carleen amesema ukweli, wanawake hawakuumbwa kuweza kucontrol power kubwa. Hivo ni jukumu lako kama mwanaume kumuonyesha njia inayopasa kufuatwa ndani ya maisha yenu. Mwanamke anaejielewa lazima atafuata, na pia ukimpa room for improvement mtatengeneza utaratibu mzuri sana unaofaa ndani.
Shida n kwamba tukipata mwanamke submissive tunavimba kichwa na kusahau kumtreat kama binadam na mpenz, tunaanza kumtreat kama kijakazi. Lazma akipata nguvu alete kisebengo kikali.
But mwanaume akiweza kusimama na kumuonyesha mwanamke kua yeye mwanaume ni kiongozi na mkewe ni msaidizi wake, they all make a great team
ombi limepokelewa jina lako nimeliweka kwenye faili 😁Aisee na ulivyo mpenzi wa threesome, naomba ukipata hizo hela unioe ili niwe najumuika nawe kwenye threesome
Tatizo kuelewa na hapo ndipo zinapo kuja style mbalimbali za kumwelewesha, mwengine atajaribu kuongea na muelewesha na kama akimuona hamuelewi anamwacha.Hi guys,
Ni imani yangu mmekuwa sawa watu wa Mungu..!
Kuna hii issue huwa inatokea mara kwa mara, wanaume hulalamika kuwa baada ya Ndoa, Cheo, Elimu ama Uwezo wa kifedha (hasa kuwazidi waume zao) hushangaa asilimia kubwa sana ya wanawake hubadilika kitabia, huwa na dharau na 'qibri' flani hivi ambacho mwanzo hakikuwepo.!
Hapa ndipo wanaume huanza kutuponda sana wanawake na kutuona viumbe wa ajabu na ndiyo mwanzo wa kutunukiwa majina yasiyo staha..!
Mnachosahau wanaume ni kuwa, kiasili mwanamke hakuumbwa kuwa na 'mamlaka', sababu kiukhalisia mwanamke hawezi control hiyo 'power', mara nyingi huwa hiyo mamlaka inamzidi nguvu, ndipo haposa mnaanza kuona mwanamke anabadilika na kuanza kuvimba,
Na si kwamba eti 'ataplan' kuwa sahii nianze kuvimba, Hell No'..! In a very automatic way, kuna kitu kina trigger kwenye akili yake kuwa 'wewe ni mkubwa sana, kuna namna unapaswa kuheshimiwa na hawa wote wako chini yako na hakuna wa kukuambia lolote kwani hakuna aliye kama wewe'..!
Lilipaswa kuwa ni jambo la ku control that 'overgrowing ego', lakini sangapi wakati huo uwezo wenyewe wa ku-control unajipata hauko nao?? Mwisho wa siku hiyo ego inakomaa hapo sasa hakuna atakayeweza kukuambia kitu tena mara nyingi kama ilikuwa ni Ndoa huishia kuvunjika kwani mafahali wawili kamwe hawakai zizi moja..!
Kuna ile namna mke anaanza kukuvimbia mpaka wewe mumewe, unashangaa hichi kiburi katoa wapi mbona hakuwa nacho kabla.? Kumbe tayari ile kujua tu 'Mimi ndiye Mkewe tena halali wa Ndoa', hiyo tu itamfanya mwanamke 'avimbe' tena mapema sana.! Yaani tunataka uielewe 'mamlaka ya kuwa mke tuliyonayo' kila mtu ajue Mimi ndiye mke wake na aheshimu hilo, kwanza ukifahamu kuwa ni mke halali tunatamani hata ushtuke japo utetemeke kidogo (kinda funny eeh!?)..!
Hapa pia ndipo pahala mliambiwa muishi na mwanamke kwa akili, ile akili sasa ikuwe applied na hapa..!!
Jitahidi kumkumbusha mwanamke wako nafasi yake mara kwa mara, kuwa hata kama dunia itageuka kichwa chini miguu juu bado nafasi yake ni ile ile yeye ni mke tu hakuna kitakachobadilisha hilo hata akiimiliki dunia yote.!
Tutabishana hapa na baadhi ila hata msipoamini hili nadhani mnajionea mengi yanayoendelea huko duniani, mwanamke hakuumbiwa kuwa na mamlaka kubwa kumliko, na akiwa nayo pengine awe na muongozo toka kwa mwanaume anayemuheshimu tofauti na hapo, we're doomed, real doomed..!
Enweiz, sijui hata nilikuwa nawaza nini, hebu mkuwe tu na weekend iliyobarikiwa..!
Sababu ushaoa ndo maana utatushauri kutu😏Suluhisho ni moja tuu...tugegeduane tuu jaa i bila haya mambo ya ndoa
Point kuu Ipo mwishoniDunia iko busy kumuinua mwanamke na kuacha kumuwezesha kijana wa kiume namna ya kuishi na huyu mwanamke aliyeinuliwa.
Imefika hatua vijana wa kiume wanawaogopa Hawa wanawake kwani wamekuwa wajeuri, wakorofi na majivuno kibao.
Wamefikia hatua ya kuamua kulelewa na majimama yaliyoinuliwa.
Na wengine wanaona Bora kuwa jinsia ya kike kwani wanatetewa zaidi kuliko kuwa mwanaume.
Ndio Hawa wamekimbilia kwenye ushoga na transgender na wanatetewa kweli.
Tuwafundishe na kuwapa watoto wetu wa kiume ego ya kuwa wanaume. Wajue kuwa baba ndiye aliumbiwa kuwa msemaji wa familia.
Mwanaume unatakiwa kutafuta chochote na kurudisha nyumbani.
Sio unakaa tu ndani unasubiri uletewe na mwanamke.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Unajua 'kuonyesha uanaume' ikiwa mke atabadilika?Hi guys,
Ni imani yangu mmekuwa sawa watu wa Mungu..!
Kuna hii issue huwa inatokea mara kwa mara, wanaume hulalamika kuwa baada ya Ndoa, Cheo, Elimu ama Uwezo wa kifedha (hasa kuwazidi waume zao) hushangaa asilimia kubwa sana ya wanawake hubadilika kitabia, huwa na dharau na 'qibri' flani hivi ambacho mwanzo hakikuwepo.!
Hapa ndipo wanaume huanza kutuponda sana wanawake na kutuona viumbe wa ajabu na ndiyo mwanzo wa kutunukiwa majina yasiyo staha..!
Mnachosahau wanaume ni kuwa, kiasili mwanamke hakuumbwa kuwa na 'mamlaka', sababu kiukhalisia mwanamke hawezi control hiyo 'power', mara nyingi huwa hiyo mamlaka inamzidi nguvu, ndipo haposa mnaanza kuona mwanamke anabadilika na kuanza kuvimba,
Na si kwamba eti 'ataplan' kuwa sahii nianze kuvimba, Hell No'..! In a very automatic way, kuna kitu kina trigger kwenye akili yake kuwa 'wewe ni mkubwa sana, kuna namna unapaswa kuheshimiwa na hawa wote wako chini yako na hakuna wa kukuambia lolote kwani hakuna aliye kama wewe'..!
Lilipaswa kuwa ni jambo la ku control that 'overgrowing ego', lakini sangapi wakati huo uwezo wenyewe wa ku-control unajipata hauko nao?? Mwisho wa siku hiyo ego inakomaa hapo sasa hakuna atakayeweza kukuambia kitu tena mara nyingi kama ilikuwa ni Ndoa huishia kuvunjika kwani mafahali wawili kamwe hawakai zizi moja..!
Kuna ile namna mke anaanza kukuvimbia mpaka wewe mumewe, unashangaa hichi kiburi katoa wapi mbona hakuwa nacho kabla.? Kumbe tayari ile kujua tu 'Mimi ndiye Mkewe tena halali wa Ndoa', hiyo tu itamfanya mwanamke 'avimbe' tena mapema sana.! Yaani tunataka uielewe 'mamlaka ya kuwa mke tuliyonayo' kila mtu ajue Mimi ndiye mke wake na aheshimu hilo, kwanza ukifahamu kuwa ni mke halali tunatamani hata ushtuke japo utetemeke kidogo (kinda funny eeh!?)..!
Hapa pia ndipo pahala mliambiwa muishi na mwanamke kwa akili, ile akili sasa ikuwe applied na hapa..!!
Jitahidi kumkumbusha mwanamke wako nafasi yake mara kwa mara, kuwa hata kama dunia itageuka kichwa chini miguu juu bado nafasi yake ni ile ile yeye ni mke tu hakuna kitakachobadilisha hilo hata akiimiliki dunia yote.!
Tutabishana hapa na baadhi ila hata msipoamini hili nadhani mnajionea mengi yanayoendelea huko duniani, mwanamke hakuumbiwa kuwa na mamlaka kubwa kumliko, na akiwa nayo pengine awe na muongozo toka kwa mwanaume anayemuheshimu tofauti na hapo, we're doomed, real doomed..!
Enweiz, sijui hata nilikuwa nawaza nini, hebu mkuwe tu na weekend iliyobarikiwa..!
Wee ndoa sii ulishaionja ebu tupe mrejesho wakeSababu ushaoa ndo maana utatushauri kutu😏
Mrejesho ni kuwa niliachiwa cheti Cha ndoa na mbususu yanguWee ndoa sii ulishaionja ebu tupe mrejesho wake
Dah pole sana teacher. Haya maisha ya ndoa ni shida tupu.Mrejesho ni kuwa niliachiwa cheti Cha ndoa na mbususu yangu
Dunia hutengeneza tatizo Liwe fursa.Dunia ipo busy kumpa nguvu(empower) binti, human rights kwa sasa zimelalia upande wa binti.
Tumesahau kuwa kumpa nguvu binti kunaendana na kumsaidia kijana wa kiume kujua nafasi yake katika jamii, jinsi ya kuishi na huyo binti.
Na bado, vijana watazidi kulia sana coz ni kama wanaona wamenyang'anywa nafasi yao, hawajafundishwa kuishi na huyu binti.
UvumilivuDah pole sana teacher. Haya maisha ya ndoa ni shida tupu.
Anyways tatizo ni kuwa tunaonanwatu ambao tayari sifa kuu ya taasisi ya ndoa hatuna. Uvumilivu.
Yes hatuna uvumilivu tunaendeshwa na nyege. Sasa mtu anashindwa control nyege ataweza kweli mcontrol mke🤣🤣🤣🤣Uvumilivu
Mfano halisi ni wewe,wife anakaz aisee🤔Yes hatuna uvumilivu tunaendeshwa na nyege. Sasa mtu anashindwa control nyege ataweza kweli mcontrol mke🤣🤣🤣🤣
Ah ata wewe pia ni mfano mzuri. Tena bora mie ata mie nilishajitambua kuwansifai kuingia kwenye hiyo ndoa mapema. Wee ulikimbilia nini🤣🤣🤣🤣Mfano halisi ni wewe,wife anakaz aisee🤔
Nimesoma ila sijapata lengo lako hasa katika suluhisho.Unapoeleza mwanaume nitumie mamlaka yangu kiuongozi dhidi ya mke,umezunguka mnoo bila kueleza dhahiri cha kufanyika.Hebu chambua zaidi ili nikitumia mamlaka yangu niwe nasoma uzi wako kama rejeo halisi.Hi guys,
Ni imani yangu mmekuwa sawa watu wa Mungu..!
Kuna hii issue huwa inatokea mara kwa mara, wanaume hulalamika kuwa baada ya Ndoa, Cheo, Elimu ama Uwezo wa kifedha (hasa kuwazidi waume zao) hushangaa asilimia kubwa sana ya wanawake hubadilika kitabia, huwa na dharau na 'qibri' flani hivi ambacho mwanzo hakikuwepo.!
Hapa ndipo wanaume huanza kutuponda sana wanawake na kutuona viumbe wa ajabu na ndiyo mwanzo wa kutunukiwa majina yasiyo staha..!
Mnachosahau wanaume ni kuwa, kiasili mwanamke hakuumbwa kuwa na 'mamlaka', sababu kiukhalisia mwanamke hawezi control hiyo 'power', mara nyingi huwa hiyo mamlaka inamzidi nguvu, ndipo haposa mnaanza kuona mwanamke anabadilika na kuanza kuvimba,
Na si kwamba eti 'ataplan' kuwa sahii nianze kuvimba, Hell No'..! In a very automatic way, kuna kitu kina trigger kwenye akili yake kuwa 'wewe ni mkubwa sana, kuna namna unapaswa kuheshimiwa na hawa wote wako chini yako na hakuna wa kukuambia lolote kwani hakuna aliye kama wewe'..!
Lilipaswa kuwa ni jambo la ku control that 'overgrowing ego', lakini sangapi wakati huo uwezo wenyewe wa ku-control unajipata hauko nao?? Mwisho wa siku hiyo ego inakomaa hapo sasa hakuna atakayeweza kukuambia kitu tena mara nyingi kama ilikuwa ni Ndoa huishia kuvunjika kwani mafahali wawili kamwe hawakai zizi moja..!
Kuna ile namna mke anaanza kukuvimbia mpaka wewe mumewe, unashangaa hichi kiburi katoa wapi mbona hakuwa nacho kabla.? Kumbe tayari ile kujua tu 'Mimi ndiye Mkewe tena halali wa Ndoa', hiyo tu itamfanya mwanamke 'avimbe' tena mapema sana.! Yaani tunataka uielewe 'mamlaka ya kuwa mke tuliyonayo' kila mtu ajue Mimi ndiye mke wake na aheshimu hilo, kwanza ukifahamu kuwa ni mke halali tunatamani hata ushtuke japo utetemeke kidogo (kinda funny eeh!?)..!
Hapa pia ndipo pahala mliambiwa muishi na mwanamke kwa akili, ile akili sasa ikuwe applied na hapa..!!
Jitahidi kumkumbusha mwanamke wako nafasi yake mara kwa mara, kuwa hata kama dunia itageuka kichwa chini miguu juu bado nafasi yake ni ile ile yeye ni mke tu hakuna kitakachobadilisha hilo hata akiimiliki dunia yote.!
Tutabishana hapa na baadhi ila hata msipoamini hili nadhani mnajionea mengi yanayoendelea huko duniani, mwanamke hakuumbiwa kuwa na mamlaka kubwa kumliko, na akiwa nayo pengine awe na muongozo toka kwa mwanaume anayemuheshimu tofauti na hapo, we're doomed, real doomed..!
Enweiz, sijui hata nilikuwa nawaza nini, hebu mkuwe tu na weekend iliyobarikiwa..!
Pole sana kwa mapito,sasa ulimpata anayejua thamani ya dhahabu?Dha, umenigusa sana. Mimi ni mwanamke submissive na kwa kipato Nipo vizuri mno. Nilimuheshimu sana ex wangu mpaka na magoti kwa heshima zote. Kumbe yeye akaniona zamwamwa [emoji28][emoji28] alikuwa ananidharau, kunitukana etc . Nilipochoka hakuamini aliyoyapata. Tujifunze kuto take people for granted.