Wanaume, siyo wakati wote ni wa kuwalaumu wanawake, kuna wakati sasa ni wa kuutumia 'uanaume' wenu

Pole Maa,
atajutia kukupoteza mpaka siku anaondoka kwa uso wa dunia.!
 
Umemaliza yote hasa Mkuu,
Wanaume wanapaswa wawekwe kwenye nafasi zao toka utotoni wakati wa malezi wazijue nafasi zao aiseeh'...!
 
Hiyo ni mbaya sana..!
Mifumo ya malezi ya kuwa empower wanaume jinsi ya kuishi na hivi vizazi jeuri inapaswa ikuwe implemented hakika..!
 
Unajua 'kuonyesha uanaume' ikiwa mke atabadilika?
Maana yake ni hii;
1. Kuwa na nyumba ndogo kali zaidi ya mke AU
2. Kuachana na mke.

Sasa muamue wenyewe, mwanaume abakie kulalamika tu, ama auonyeshe huo uanaume wake.
aonyeshe uanaume wake, Period.!
 
Ukishakua mwanaume, haya mambo mengine hayakupu shida. Ukiona nguvu ya mwanamke au mtu mwingine inakusumbua, jua Bado Kuna darasa haujahitimu.

Mtoa hoja umeshaandika yote!
Shukrani sana Mtumishi,
Barikiwa na Bwana..!
 
Nakupaje suluhisho na Mimi ni mwanamke mkuu??
Suluhisho mwapaswa mulotafutele ninyi wanaume wenyewe, mie nimewakumbusha tu kuwa 'qibri' cha mwanamke muda mwingi huwa ni unplanned kutokana na mamlaka aliyoipata ghafla sababu she can't control it..!
 
Wengi hawajui sehemu sahihi za kuweka EGO zao juu
Mwanamke anakuvimbia hata bila sababu za msingi
Yes,
Sababu hana power ya ku control that ego', siyo nature yeye kumiliki hiyo mamlaka.!
 
Kweli wanaume tunajisahau uanaume wetu tunabaki kulalamika wakati ki uhalisia wanaume ndio wenye dunia yetu na tunatakiwa tuviongoze viumbe vyote kwenye dunia hii
 
Wamekusikia,
Isijekuwa unataka mserereko lakini Surya...!
mserereko kivip tena 😃

Ananiweka kuwa CEO hapo, napiga kazi mbili, namshuhurikia yeye na biashara zake vyote nawajibika.
 
Nakupaje suluhisho na Mimi ni mwanamke mkuu??
Suluhisho mwapaswa mulotafutele ninyi wanaume wenyewe, mie nimewakumbusha tu kuwa 'qibri' cha mwanamke muda mwingi huwa ni unplanned kutokana na mamlaka aliyoipata ghafla sababu she can't control it..!
Ok.Ila kuna viumbe wa kike huwa pasua kichwa sana.Umeeleweka.
 
Kweli wanaume tunajisahau uanaume wetu tunabaki kulalamika wakati ki uhalisia wanaume ndio wenye dunia yetu na tunatakiwa tuviongoze viumbe vyote kwenye dunia hii
Upo sahihi Mr. Abuu,
 
mserereko kivip tena 😃

Ananiweka kuwa CEO hapo, napiga kazi mbili, namshuhurikia yeye na biashara zake vyote nawajibika.
Haha,
Surya bhana..!
Unasimamia kucha kote kote..!
 
"KUWA MWANAUME" ni kujua ya kuzingatia ili uachane na yasiyokuhusu.
 
Ndoa sio ya kila mwanamke au mwanaume, wengine wataishi single maisha Yao yote mfano mzuri ni wewe
that's personal attack, na siyo kitu chema, hujui mtu kapitia nini kwenye maisha yake, hebu stop being so judgemental tafadhali,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…