Wanaume, siyo wakati wote ni wa kuwalaumu wanawake, kuna wakati sasa ni wa kuutumia 'uanaume' wenu

Wanaume, siyo wakati wote ni wa kuwalaumu wanawake, kuna wakati sasa ni wa kuutumia 'uanaume' wenu

Dha, umenigusa sana. Mimi ni mwanamke submissive na kwa kipato Nipo vizuri mno. Nilimuheshimu sana ex wangu mpaka na magoti kwa heshima zote. Kumbe yeye akaniona zamwamwa [emoji28][emoji28] alikuwa ananidharau, kunitukana etc . Nilipochoka hakuamini aliyoyapata. Tujifunze kuto take people for granted.
Pole Maa,
atajutia kukupoteza mpaka siku anaondoka kwa uso wa dunia.!
 
Dunia iko busy kumuinua mwanamke na kuacha kumuwezesha kijana wa kiume namna ya kuishi na huyu mwanamke aliyeinuliwa.
Imefika hatua vijana wa kiume wanawaogopa Hawa wanawake kwani wamekuwa wajeuri, wakorofi na majivuno kibao.
Wamefikia hatua ya kuamua kulelewa na majimama yaliyoinuliwa.
Na wengine wanaona Bora kuwa jinsia ya kike kwani wanatetewa zaidi kuliko kuwa mwanaume.
Ndio Hawa wamekimbilia kwenye ushoga na transgender na wanatetewa kweli.
Tuwafundishe na kuwapa watoto wetu wa kiume ego ya kuwa wanaume. Wajue kuwa baba ndiye aliumbiwa kuwa msemaji wa familia.
Mwanaume unatakiwa kutafuta chochote na kurudisha nyumbani.
Sio unakaa tu ndani unasubiri uletewe na mwanamke.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Umemaliza yote hasa Mkuu,
Wanaume wanapaswa wawekwe kwenye nafasi zao toka utotoni wakati wa malezi wazijue nafasi zao aiseeh'...!
 
Tatizo kuelewa na hapo ndipo zinapo kuja style mbalimbali za kumwelewesha, mwengine atajaribu kuongea na muelewesha na kama akimuona hamuelewi anamwacha.

Mwengine atamwelewesha na kama hamuelewi ndipo ataanza kumfumua, sasa hapo kwenye kumfumua ndipo baadae tunasikia kamvunja, kamuua nk.

Na wengine wana kuelewesha wakiona huelewi bado ni kiburi haangaiki na wewe anatafuta nyumba ndogo itakayo muheshimu maisha yana endelea, kwenye nyumba mnakaa kulea watoto ila upendo kati yenu hamna.
Hiyo ni mbaya sana..!
Mifumo ya malezi ya kuwa empower wanaume jinsi ya kuishi na hivi vizazi jeuri inapaswa ikuwe implemented hakika..!
 
Unajua 'kuonyesha uanaume' ikiwa mke atabadilika?
Maana yake ni hii;
1. Kuwa na nyumba ndogo kali zaidi ya mke AU
2. Kuachana na mke.

Sasa muamue wenyewe, mwanaume abakie kulalamika tu, ama auonyeshe huo uanaume wake.
aonyeshe uanaume wake, Period.!
 
Ukishakua mwanaume, haya mambo mengine hayakupu shida. Ukiona nguvu ya mwanamke au mtu mwingine inakusumbua, jua Bado Kuna darasa haujahitimu.

Mtoa hoja umeshaandika yote!
Shukrani sana Mtumishi,
Barikiwa na Bwana..!
 
Nimesoma ila sijapata lengo lako hasa katika suluhisho.Unapoeleza mwanaume nitumie mamlaka yangu kiuongozi dhidi ya mke,umezunguka mnoo bila kueleza dhahiri cha kufanyika.Hebu chambua zaidi ili nikitumia mamlaka yangu niwe nasoma uzi wako kama rejeo halisi.
Nakupaje suluhisho na Mimi ni mwanamke mkuu??
Suluhisho mwapaswa mulotafutele ninyi wanaume wenyewe, mie nimewakumbusha tu kuwa 'qibri' cha mwanamke muda mwingi huwa ni unplanned kutokana na mamlaka aliyoipata ghafla sababu she can't control it..!
 
Wengi hawajui sehemu sahihi za kuweka EGO zao juu
Mwanamke anakuvimbia hata bila sababu za msingi
Yes,
Sababu hana power ya ku control that ego', siyo nature yeye kumiliki hiyo mamlaka.!
 
Kweli wanaume tunajisahau uanaume wetu tunabaki kulalamika wakati ki uhalisia wanaume ndio wenye dunia yetu na tunatakiwa tuviongoze viumbe vyote kwenye dunia hii
 
Wamekusikia,
Isijekuwa unataka mserereko lakini Surya...!
mserereko kivip tena 😃

Ananiweka kuwa CEO hapo, napiga kazi mbili, namshuhurikia yeye na biashara zake vyote nawajibika.
 
Nakupaje suluhisho na Mimi ni mwanamke mkuu??
Suluhisho mwapaswa mulotafutele ninyi wanaume wenyewe, mie nimewakumbusha tu kuwa 'qibri' cha mwanamke muda mwingi huwa ni unplanned kutokana na mamlaka aliyoipata ghafla sababu she can't control it..!
Ok.Ila kuna viumbe wa kike huwa pasua kichwa sana.Umeeleweka.
 
Kweli wanaume tunajisahau uanaume wetu tunabaki kulalamika wakati ki uhalisia wanaume ndio wenye dunia yetu na tunatakiwa tuviongoze viumbe vyote kwenye dunia hii
Upo sahihi Mr. Abuu,
 
mserereko kivip tena 😃

Ananiweka kuwa CEO hapo, napiga kazi mbili, namshuhurikia yeye na biashara zake vyote nawajibika.
Haha,
Surya bhana..!
Unasimamia kucha kote kote..!
 
"KUWA MWANAUME" ni kujua ya kuzingatia ili uachane na yasiyokuhusu.
 
Ndoa sio ya kila mwanamke au mwanaume, wengine wataishi single maisha Yao yote mfano mzuri ni wewe
that's personal attack, na siyo kitu chema, hujui mtu kapitia nini kwenye maisha yake, hebu stop being so judgemental tafadhali,
 
Back
Top Bottom