Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole Maa,Dha, umenigusa sana. Mimi ni mwanamke submissive na kwa kipato Nipo vizuri mno. Nilimuheshimu sana ex wangu mpaka na magoti kwa heshima zote. Kumbe yeye akaniona zamwamwa [emoji28][emoji28] alikuwa ananidharau, kunitukana etc . Nilipochoka hakuamini aliyoyapata. Tujifunze kuto take people for granted.
Umemaliza yote hasa Mkuu,Dunia iko busy kumuinua mwanamke na kuacha kumuwezesha kijana wa kiume namna ya kuishi na huyu mwanamke aliyeinuliwa.
Imefika hatua vijana wa kiume wanawaogopa Hawa wanawake kwani wamekuwa wajeuri, wakorofi na majivuno kibao.
Wamefikia hatua ya kuamua kulelewa na majimama yaliyoinuliwa.
Na wengine wanaona Bora kuwa jinsia ya kike kwani wanatetewa zaidi kuliko kuwa mwanaume.
Ndio Hawa wamekimbilia kwenye ushoga na transgender na wanatetewa kweli.
Tuwafundishe na kuwapa watoto wetu wa kiume ego ya kuwa wanaume. Wajue kuwa baba ndiye aliumbiwa kuwa msemaji wa familia.
Mwanaume unatakiwa kutafuta chochote na kurudisha nyumbani.
Sio unakaa tu ndani unasubiri uletewe na mwanamke.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hiyo ni mbaya sana..!Tatizo kuelewa na hapo ndipo zinapo kuja style mbalimbali za kumwelewesha, mwengine atajaribu kuongea na muelewesha na kama akimuona hamuelewi anamwacha.
Mwengine atamwelewesha na kama hamuelewi ndipo ataanza kumfumua, sasa hapo kwenye kumfumua ndipo baadae tunasikia kamvunja, kamuua nk.
Na wengine wana kuelewesha wakiona huelewi bado ni kiburi haangaiki na wewe anatafuta nyumba ndogo itakayo muheshimu maisha yana endelea, kwenye nyumba mnakaa kulea watoto ila upendo kati yenu hamna.
aonyeshe uanaume wake, Period.!Unajua 'kuonyesha uanaume' ikiwa mke atabadilika?
Maana yake ni hii;
1. Kuwa na nyumba ndogo kali zaidi ya mke AU
2. Kuachana na mke.
Sasa muamue wenyewe, mwanaume abakie kulalamika tu, ama auonyeshe huo uanaume wake.
Nakupaje suluhisho na Mimi ni mwanamke mkuu??Nimesoma ila sijapata lengo lako hasa katika suluhisho.Unapoeleza mwanaume nitumie mamlaka yangu kiuongozi dhidi ya mke,umezunguka mnoo bila kueleza dhahiri cha kufanyika.Hebu chambua zaidi ili nikitumia mamlaka yangu niwe nasoma uzi wako kama rejeo halisi.
Ukijishusha napo mwanaume anakuona kolo....bas ni shida tu
Haifai kushusha heshima ya mume kinamna yoyote ile hata uimiliki dunia yote hii
mserereko kivip tena 😃Wamekusikia,
Isijekuwa unataka mserereko lakini Surya...!
Ok.Ila kuna viumbe wa kike huwa pasua kichwa sana.Umeeleweka.Nakupaje suluhisho na Mimi ni mwanamke mkuu??
Suluhisho mwapaswa mulotafutele ninyi wanaume wenyewe, mie nimewakumbusha tu kuwa 'qibri' cha mwanamke muda mwingi huwa ni unplanned kutokana na mamlaka aliyoipata ghafla sababu she can't control it..!
Ndoa sio ya kila mwanamke au mwanaume, wengine wataishi single maisha Yao yote mfano mzuri ni weweUkijishusha napo mwanaume anakuona kolo....bas ni shida tu