Wanaume tuache ubahili tuwatunze wapenzi wetu

Ahsante umepata! Ujue kuna wachache watajirekebisha.
ujue kuna wanaume kama ujawaomba unaweza kuishi nao ata miaka 10 hawakupi chochote.

Halafu wakitoka hapo wanasema wanawake wakiolewa wanazeeka na hawajipendi kumbe huwa hawatunzwi!
 
Mwanamke ni yule aliye kwenye ndoa. Tofauti na hapo ni nung'ayembe. Hudumia mkeo sio mlupo!

Sasa wewe unawachokoza hawa wanaolalamika kua maBf zao hawawapi hela
 
Ni kweli kbs tuache ubahiri mwanamke anakuhesimu anakuvulia chupi kbs wewe mwanaume kitu ambacho hawezi kumfanyia baba yake mzazi.. hiyo ni heshima kubwa sana tuwapeni hela wapenzi wetu
 
Mimi mpendwa wangu huwa ananiambia anachukia sana kauli kwamba anahitaji kutunzwa wakati yeye anafanya kazi kama mimi. Nina hakika angekuwa mods huu uzi angeunyofoa. Siku zote yeye anapinga mwanamke kuishi kwa kutegemea mme.[/QUOT

hehe mimi nafanya kazi ndio ila kusaidiana kupo tena wala hasubiri kuambiwa nataka hela
 
Uwiiiiiii! ata dem 2 chapa ilale umpe uduma ka mkeo hapan kw kwel
:cool2::flame:hahahahahhaha
 
umenifurahisha sanaaaa eti kuchambia pesa uwiiiiii
 
Soma na kuelewa mada hatukukisudia na nyie wauza mbogamboga nimemaanisha watu wenye kipato.

We mwenyewe unaomba HELA kwa dadaako utamuhudumia nan?.
Hela zangu za mboga mboga zinatosha kukuhudumia wewe na mke wangu ambaye ni mama yako mzazi....
 
Naaam we unafaa nikuoe, umewai kutoa mimba kama mamako, kwa taarifa yko mamako alipanga kabisa kutokukuzaa ila mimba iligoma kutoka ndio maana una hasira na wanaume.
 
Yaani nimekupenda ghafla....Ahsante kwa ujumbe mzuri...Nahisi wenye uume wamekusikia ipasavyo na wenye mioyo safi watatekeleza... Jembemtaji
 
Last edited by a moderator:

Bac kuna wanaume wenzangu hawataki kukubali kabisa hii hoja wanadai WA kuhudumiwa ni mke WA ndoa.

Cha ajabu MTU anataka atunze kama mume WA ndoa .

lakin hataki kumtunza mpenzi kama mke wa ndoa.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza nianze kwa kukili kua maisha ni magumu sana nadhani kila mtu anajua.

Na katika mahusiano ya mapenzi kati ya me na ke lazima kunakua na tofauti ya kipato, yaani Mara nyingi wanaume wanakua na hali mzur kimapato kuliko mwanamke.

Nieleweke vizur kua si maanishi kua wanawake wote wanakipato duni LA hasha.

Ningependa kuwashauri wale wenye wapenzi WA kike mambo haya yafuatayo:-

1 Ujue tofauti ya kuchunwa na kuhudumia unapokua na mpenzi ujue ni jukumu lako kumpendezesha anapopendeza watu watajua we ndio kidume uliemwezesha.

2 .Sio mpaka akuombe ndio umpe. jaribu kumfaam hali ya maisha na kipato chake ujue kukisia cha kumpa kwa matumizi yake.

3.Usiulize ya nini,ikitokea mpz amekuomba HELA usiulize ya nn ye ni MTU mzima awezi kukuomba HELA akaenda kuchambia.

4. Kutumia pesa nyingi sehemu ya starehe.
Kuna watu wanaenda mpaka hotel ya nyota 5 kustarehe akitumia zaidi ya laki tano.cha ajabu baada ya kutoka hotel anamwacha mpz wake 10000 ya nauli.
Huu ni ujinga bora ungeenda ata lodge ya nafuu ye ukamwacha na HELA ya kutosha.

5.Tenga ata 10% ya mshahara MPE yeye aangalie kama kuna kitu cha kurekebisha arekebishe.

NB.
APA ni kwa wale Wanaume wanaowazidi kipato wanawake wao sio wanawake wenye vipato vizur.

Tusiwe wataalamu wakutafuta Gspot wakati ukiombwa ata 1000 unanuna mapenzi ni pamoja na kupunguzia makali ya maisha.

Yeyote mwenye chochote anaweza kuongezea apo.

Gsport ni kitu gan? Msaada tafadhal.
 
ni ujinga tuu wanaojazana...halafu hapo akimuona wa mwenzie anayetunzwa anaanza kudondosha miudenda...Kila kingaracho kinagharamiwa..

Pili kama humtunzi mkeo au mpenzi wako usilie lie utakapo mfuma ametumiwa hela na mwanaume katika Tigo pesa, Airtel mone au MPESA...kaa kimyaaaa

Bac kuna wanaume wenzangu hawataki kukubali kabisa hii hoja wanadai WA kuhudumiwa ni mke WA ndoa.

Cha ajabu MTU anataka atunze kama mume WA ndoa .

lakin hataki kumtunza mpenzi kama mke wa ndoa.
 
ni ujinga tuu wanaojazana...halafu hapo akimuona wa mwenzie anayetunzwa anaanza kudondosha miudenda...Kila kingaracho kinagharamiwa..

Pili kama humtunzi mkeo au mpenzi wako usilie lie utakapo mfuma ametumiwa hela na mwanaume katika Tigo pesa, Airtel mone au MPESA...kaa kimyaaaa

Uko na mpenz wako viwanja mnakula na kunywa.
Mnatumia zaid ya laki3 lakin kwenye pochi ya mpz kuna 1500 aliorudishiwa na Konda.

Mwisho WA siku we unaona mumeenjoy wakati mwenzio anajutia bora ile HELA ungempa akamalizia shida zake ndogondogo.

Unalalama uyo dem mizinga,
Sasa hautoi kwa hiali yako ataacha kuomba?.
 
Kwanza nianze kwa kukili kua maisha ni magumu sana nadhani kila mtu anajua.

Na katika mahusiano ya mapenzi kati ya me na ke lazima kunakua na tofauti ya kipato, yaani Mara nyingi wanaume wanakua na hali mzur kimapato kuliko mwanamke.

Nieleweke vizur kua si maanishi kua wanawake wote wanakipato duni LA hasha.

Ningependa kuwashauri wale wenye wapenzi WA kike mambo haya yafuatayo:-

1 Ujue tofauti ya kuchunwa na kuhudumia unapokua na mpenzi ujue ni jukumu lako kumpendezesha anapopendeza watu watajua we ndio kidume uliemwezesha.

2 .Sio mpaka akuombe ndio umpe. jaribu kumfaam hali ya maisha na kipato chake ujue kukisia cha kumpa kwa matumizi yake.

3.Usiulize ya nini,ikitokea mpz amekuomba HELA usiulize ya nn ye ni MTU mzima awezi kukuomba HELA akaenda kuchambia.

4. Kutumia pesa nyingi sehemu ya starehe.
Kuna watu wanaenda mpaka hotel ya nyota 5 kustarehe akitumia zaidi ya laki tano.cha ajabu baada ya kutoka hotel anamwacha mpz wake 10000 ya nauli.
Huu ni ujinga bora ungeenda ata lodge ya nafuu ye ukamwacha na HELA ya kutosha.

5.Tenga ata 10% ya mshahara MPE yeye aangalie kama kuna kitu cha kurekebisha arekebishe.

NB.
APA ni kwa wale Wanaume wanaowazidi kipato wanawake wao sio wanawake wenye vipato vizur.

Tusiwe wataalamu wakutafuta Gspot wakati ukiombwa ata 1000 unanuna mapenzi ni pamoja na kupunguzia makali ya maisha.

Yeyote mwenye chochote anaweza kuongezea apo.

Kama ni mkeo haya unayosema ni sawa lakini kama ni hawa wa BRN ambae kabla hata ya kumtongoza kashakukubalia na pichu kavua wataendelea kusubiri sana elfu2 ya nauli itakuwa inamhusu daily.
 
Heheee nishiiidah ww acha tuu kuna watoto wadogo hata laki kwa siku haiwatoshi afu kwao maisha ya chini ..ww ongea habari ya hela kwenye mapenzi upotezwee
 
Back
Top Bottom