Wanaume tuache umarioo unakubalije kuishi kwa mwanamke?

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Kuna rafiki yangu kipenzi sana tupo kama ndugu, ni msomi mzuri sema amekosa connection ya kupata kazi ya maana. Ni muda sasa amekuwa akiishi kwa mama mmoja ana watoto wawili kila mmoja na baba yake. Katika hawa watoto wawili kuna mmoja baba yake yupo vizuri kiuchumi hivyo anasoma shule nzuri tu.

Huyu baba mwenye uwezo ndio amempangia nyumba nzima huyu mama, jamaa huwa anakuja kumuona mwanae mara kwa mara. Huyu rafiki yangu Kwa sasa kapata ajira huko GSM, pindi anapotoka kazini akifika nyumbani akikuta gari ya jamaa imepaki hapo nje humlazimu kutafuta sehemu nyingine ya kwenda kukaa mpaka jamaa atakapotoka.

Yule mama sijui kampa nini mshikaji, nimejaribu kumshauri haya ni maisha gani unayoishi, rafiki yangu huyu anaelewi kabisa. Majibu yake ni kuwa anataka kumuowa huyu mwanamke, mwanamke ni muislamu, jamaa amebadiki na dini kabisa hataki masihara, kiufupi huyu rafiki yangu ameziba masikio haambiliki nimeamua kumwacha afanye anachotaka.
 
Acha ujinga… kuishi kwa mwanamke wako sio umarioo, umarioo ni kujipeleka kwa mishangazi.

Huyo rafikiyo hujui malengo yao na huyo mwanamke wake. Acha kelele zisizo na tija.
Samahani mtaalamu, maelezo yaliyotolewa ukifananisha na kichwa cha habari ni mbingu na ardhi, umejuaje kuwa huyo rafiki yake asiye na connection NDIYE mwenye kulelewa na mwanamke?
 
Sawa MKAMILIFU nakushauri usije kuingilia mahusiano ya mtu sababu kila mtu ana vigezo vyake anavyotaka mimi nina marafiki wawili
Mmoja vigezo vyake vikuu vya kukaa na mwanamke ni usafi na hataki kelele huyu jamaa ni injinia tegemezi Tanroad

Wa pili yeye kigezo chake kikuu ni mwanamke awe muelewa na anajua kupika

Alafu kuna mimi nataka msambwanda mkubwa mlaini basi

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Huyu atakuwa ashura namba 2.
Wee bwana hujui rafiki yako anapewa nini huku ndani....haya mambo acha kabisa.
 
Wengine wanataka mwanamke mwenye katumbo
 
Tujiongeze.. mshikaji wake kakosa mchongo ndio kaenda kukaa kwa babe ake.
Sasa OP wivu unamsumbua
Wewe una akili saana jamaa atakuwa anamuonea wivu mwenzake [emoji23][emoji23]

Nakumbuka na mimi niliwai kupata demu mwalimu kipindi hicho nimemaliza chuo sina dira alafu nilikuwa na rafiki yangu kipenzi askari wa suma jkt akawa anampiga vita saana yule mwalimu baadae nikaja kugundua jamaa alikuwa ananionea wivu the way mwalimu alivyokuwa ananipiga Tafu na kunipa mawazo chanya....end of the day teacher alinisaidia kubamba kitengo UN jamaa akaacha kunisemesha mazima

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
😂😂
 
Duh kama mashairi ya J Moo
 
Tujiongeze.. mshikaji wake kakosa mchongo ndio kaenda kukaa kwa babe ake.
Sasa OP wivu unamsumbua
Nilivyoona avatar kwenye id nikajua ni yule jamaa anaendikaga " subiri mwongozo", "tatizo watu ni wabishi sana " nikashangaa mbona leo kaandika maneno marefu kumbe mpo sare sare bado kushona vitenge tu hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…