Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
😀😀😀 emu kwanza nitafute miongozo, maana sitaki kuwa Ashura..Na vile ulivyo nitafichika vizuri haswa... Dunia itanisahau kabisa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀 emu kwanza nitafute miongozo, maana sitaki kuwa Ashura..Na vile ulivyo nitafichika vizuri haswa... Dunia itanisahau kabisa...
Dogo kumbe nawewe mnafiki hivyo, yaani umeamua kuja kunitangaza huku jeiefu kwamba naishi kwa Mwanamke? Hako kakazi kako ka koneksheni ndio kanakupa kiburi? Ila Haina nomaKuna rafiki yangu kipenzi sana tupo kama ndugu, ni msomi mzuri sema amekosa connection ya kupata kazi ya maana. Ni muda sasa amekuwa akiishi kwa mama mmoja ana watoto wawili kila mmoja na baba yake. Katika hawa watoto wawili kuna mmoja baba yake yupo vizuri kiuchumi hivyo anasoma shule nzuri tu.
Huyu baba mwenye uwezo ndio amempangia nyumba nzima huyu mama, jamaa huwa anakuja kumuona mwanae mara kwa mara. Huyu rafiki yangu Kwa sasa kapata ajira huko GSM, pindi anapotoka kazini akifika nyumbani akikuta gari ya jamaa imepaki hapo nje humlazimu kutafuta sehemu nyingine ya kwenda kukaa mpaka jamaa atakapotoka.
Yule mama sijui kampa nini mshikaji, nimejaribu kumshauri haya ni maisha gani unayoishi, rafiki yangu huyu anaelewi kabisa. Majibu yake ni kuwa anataka kumuowa huyu mwanamke, mwanamke ni muislamu, jamaa amebadiki na dini kabisa hataki masihara, kiufupi huyu rafiki yangu ameziba masikio haambiliki nimeamua kumwacha afanye anachotaka.
Kabla wewe hujaniweka ndani, utajikuta mimi ndiyo nakuweka wewe ndani, nakuficha kabisa...😀😀😀 emu kwanza nitafute miongozo, maana sitaki kuwa Ashura..
Hahaha... Tutaangalia wote... ukiwa unaogopa tukumbatiane...Nasubiria ‘kolu’ nipate muongozo wa kale ka movie 🤪
Acha ujinga… kuishi kwa mwanamke wako sio umarioo, umarioo ni kujipeleka kwa mishangazi.
Huyo rafikiyo hujui malengo yao na huyo mwanamke wake. Acha kelele zisizo na tija.
Acha ujinga… kuishi kwa mwanamke wako sio umarioo, umarioo ni kujipeleka kwa mishangazi.
Huyo rafikiyo hujui malengo yao na huyo mwanamke wake. Acha kelele zisizo na tija.
Acha kupenda vya bure mwana yule jamaa siku akikufuma na alivyo kibonge marinda yako yatakuwa halali yakeDogo kumbe nawewe mnafiki hivyo, yaani umeamua kuja kunitangaza huku jeiefu kwamba naishi kwa Mwanamke? Hako kakazi kako ka koneksheni ndio kanakupa kiburi? Ila Haina noma
[emoji1787][emoji1787][emoji23]Una kibe10 kwapani nini!?umekibeba kama kipima joto!
Manake hili povu sio la nchi hii
Haha [emoji1787][emoji1787] [emoji2]Nilivyoona avatar kwenye id nikajua ni yule jamaa anaendikaga " subiri mwongozo", "tatizo watu ni wabishi sana " nikashangaa mbona leo kaandika maneno marefu kumbe mpo sare sare bado kushona vitenge tu hapo
😃😃😃 wacha tuendelee kuburudika na comments..
Hahah nikajua ni mimi mwenyewe, tatizo wqtu ni wqbishi sana. [emoji23][emoji23]Nilivyoona avatar kwenye id nikajua ni yule jamaa anaendikaga " subiri mwongozo", "tatizo watu ni wabishi sana " nikashangaa mbona leo kaandika maneno marefu kumbe mpo sare sare bado kushona vitenge tu hapo
Ila Mkuu nje ya mada kidogo wewe ni Mawawa Mabeba?Kuna rafiki yangu kipenzi sana tupo kama ndugu, ni msomi mzuri sema amekosa connection ya kupata kazi ya maana. Ni muda sasa amekuwa akiishi kwa mama mmoja ana watoto wawili kila mmoja na baba yake. Katika hawa watoto wawili kuna mmoja baba yake yupo vizuri kiuchumi hivyo anasoma shule nzuri tu.
Huyu baba mwenye uwezo ndio amempangia nyumba nzima huyu mama, jamaa huwa anakuja kumuona mwanae mara kwa mara. Huyu rafiki yangu Kwa sasa kapata ajira huko GSM, pindi anapotoka kazini akifika nyumbani akikuta gari ya jamaa imepaki hapo nje humlazimu kutafuta sehemu nyingine ya kwenda kukaa mpaka jamaa atakapotoka.
Yule mama sijui kampa nini mshikaji, nimejaribu kumshauri haya ni maisha gani unayoishi, rafiki yangu huyu anaelewi kabisa. Majibu yake ni kuwa anataka kumuowa huyu mwanamke, mwanamke ni muislamu, jamaa amebadiki na dini kabisa hataki masihara, kiufupi huyu rafiki yangu ameziba masikio haambiliki nimeamua kumwacha afanye anachotaka.
[emoji23][emoji2][emoji2][emoji2] yule ex aliekuwa akitagiwa kila comment atakuwa anapita kimya kimyaHahah nikajua ni mimi mwenyewe, tatizo wqtu ni wqbishi sana. [emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO WX3LTE using JamiiForums mobile app
We mdadaaaa mwone huruma mtoto wa mwanamke mwenzio huruma je ndo angekuwa kaka yako ndo anaishi kama mjusi anechungulia toka kwenye mawe ungejisikiaje?😃 we ashura wa hukoo mbali Mungu anakuona katoe hizo dawa mwenzio aone tena😨Mjini kila mtu na starehe zake,atajua mwenyewe
Acha kujihangaisha na mambo yasiyokuhusuKuna rafiki yangu kipenzi sana tupo kama ndugu, ni msomi mzuri sema amekosa connection ya kupata kazi ya maana. Ni muda sasa amekuwa akiishi kwa mama mmoja ana watoto wawili kila mmoja na baba yake. Katika hawa watoto wawili kuna mmoja baba yake yupo vizuri kiuchumi hivyo anasoma shule nzuri tu.
Huyu baba mwenye uwezo ndio amempangia nyumba nzima huyu mama, jamaa huwa anakuja kumuona mwanae mara kwa mara. Huyu rafiki yangu Kwa sasa kapata ajira huko GSM, pindi anapotoka kazini akifika nyumbani akikuta gari ya jamaa imepaki hapo nje humlazimu kutafuta sehemu nyingine ya kwenda kukaa mpaka jamaa atakapotoka.
Yule mama sijui kampa nini mshikaji, nimejaribu kumshauri haya ni maisha gani unayoishi, rafiki yangu huyu anaelewi kabisa. Majibu yake ni kuwa anataka kumuowa huyu mwanamke, mwanamke ni muislamu, jamaa amebadiki na dini kabisa hataki masihara, kiufupi huyu rafiki yangu ameziba masikio haambiliki nimeamua kumwacha afanye anachotaka.
Hapo kwenye Msambwanda tupo pamoja,akili atatumia zangu.Sawa MKAMILIFU nakushauri usije kuingilia mahusiano ya mtu sababu kila mtu ana vigezo vyake anavyotaka mimi nina marafiki wawili
Mmoja vigezo vyake vikuu vya kukaa na mwanamke ni usafi na hataki kelele huyu jamaa ni injinia tegemezi Tanroad
Wa pili yeye kigezo chake kikuu ni mwanamke awe muelewa na anajua kupika
Alafu kuna mimi nataka msambwanda mkubwa mlaini basi
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app