Wanaume tuache umarioo unakubalije kuishi kwa mwanamke?

Dogo kumbe nawewe mnafiki hivyo, yaani umeamua kuja kunitangaza huku jeiefu kwamba naishi kwa Mwanamke? Hako kakazi kako ka koneksheni ndio kanakupa kiburi? Ila Haina noma
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ emu kwanza nitafute miongozo, maana sitaki kuwa Ashura..
Kabla wewe hujaniweka ndani, utajikuta mimi ndiyo nakuweka wewe ndani, nakuficha kabisa...
 
Nilichogundua, town kila mtu anaishi vile anaona inafaa. Ukipenda sana kuwa mshauri wa maisha ya marafiki, you'll end up being isolated.

Mwamba ni kitoombi sijawahi kuona, I mean nimekutana na marafiki but this guy ni kitu kingine. Nikajifanya kumwambia, "mzee punguza, tafuta japo mmoja useto nae", I mean you're married, ukiwa na mcheps mmoja ukampa kila anachotaka na wewe ukaenkoy si inatosha mzee...dadeq, kweli mzee, nitakuwa na yule tu, wengine wote nawabwaga...dadeq...kesho unasikia "mzee nimepata lidada fb jioni naenda kuli..."

Nikajisemea ya nini kujifanya mtoa ushauri nasaha!
 
Acha ujinga… kuishi kwa mwanamke wako sio umarioo, umarioo ni kujipeleka kwa mishangazi.

Huyo rafikiyo hujui malengo yao na huyo mwanamke wake. Acha kelele zisizo na tija.

Alooo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha ujinga… kuishi kwa mwanamke wako sio umarioo, umarioo ni kujipeleka kwa mishangazi.

Huyo rafikiyo hujui malengo yao na huyo mwanamke wake. Acha kelele zisizo na tija.

[mention]Kelsea [/mention] mama jenga nihamie[emoji23][emoji23]
 
Dogo kumbe nawewe mnafiki hivyo, yaani umeamua kuja kunitangaza huku jeiefu kwamba naishi kwa Mwanamke? Hako kakazi kako ka koneksheni ndio kanakupa kiburi? Ila Haina noma
Acha kupenda vya bure mwana yule jamaa siku akikufuma na alivyo kibonge marinda yako yatakuwa halali yake
 
Ukweli hizi "ndude" za wamama watu wazima miaka 40+, sijui kutokana na kutumika sana.Zina test ni tofauti na hivi vitoto vya miaka 20 sijui 30. Mheshimiwa, Diwani, Mchungaji msaidizi anajua habari hii
 
Nilivyoona avatar kwenye id nikajua ni yule jamaa anaendikaga " subiri mwongozo", "tatizo watu ni wabishi sana " nikashangaa mbona leo kaandika maneno marefu kumbe mpo sare sare bado kushona vitenge tu hapo
Hahah nikajua ni mimi mwenyewe, tatizo wqtu ni wqbishi sana. [emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO WX3LTE using JamiiForums mobile app
 
Ila Mkuu nje ya mada kidogo wewe ni Mawawa Mabeba?

Sent from my TECNO WX3LTE using JamiiForums mobile app
 
Mjini kila mtu na starehe zake,atajua mwenyewe
We mdadaaaa mwone huruma mtoto wa mwanamke mwenzio huruma je ndo angekuwa kaka yako ndo anaishi kama mjusi anechungulia toka kwenye mawe ungejisikiaje?πŸ˜ƒ we ashura wa hukoo mbali Mungu anakuona katoe hizo dawa mwenzio aone tena😨
 
Tuanze na yule wa shilole maana ni kioo cha jamii.
 
Acha kujihangaisha na mambo yasiyokuhusu
 
Hapo kwenye Msambwanda tupo pamoja,akili atatumia zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…