Heci
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 3,591
- 6,114
Nimesikitishwa saba na tabia za mademu wengi, unamtongoza, hata kabla hajakukubali anaanza kukufungulia pochi yake ya matatizo.
Mara naomba nauli ya mama aende kumuuguza mama mkubwa, hivi nisingekutongoza ingekuwaje?
Mwingine ana kigari chake utasikia yaani nimezidisha kilometa 5OO naomba hela ya service na ya polish. Hivi uliweje kununua kitu usichoweza kulimudu?
Mwingine umeomtongoza tu hapohapo anakuunga na kwenye group lao la harusi mtoto wa baba yake mdogo ana kipaimara uchangie.
Mwingine mmekutana naye club mnakula raha, kesho saa sita mchana anakwambia, Babi nikwambie kitu?, unajua mdogo wetu alifariki wiki iliyopita maiti iko hospital, naomba utusaidie tukomboe mwili wake.