Hakuna muda sahihi mkuu! Ila ukikutana na mwanamke anaekupenda mizinga inakuja kistaarabu na hata unapomwambia haupo vzuri hanuni!!!
Ila kama kibunda kipo toa, mwanamke anaweza akawa anataka kukumuoa kwakukupiga mizinga ila mpe mpaka achoke ataanza kukupenda mwenyewe na hatotaka tena pesa, sa iyo ni kulia tu usipopokea simu maana anajua unagawa kibunda tena kwa mwingine!!!!
Nilishapata mwanamke wa kuomba pesa nilikuwa nampa bila kuomba mzigo na yeye alikuja na style ya nikuposhe.... nilikuwa nampa alafu simtafuti, alikula pesa zangu!!! Akaanza kunimiss sasa uko wapi nikuone mimi nipo site bize....
Mimi nauliza tu upo okay ndio, mambo yanenda ndio, najibu poa..... akaniambia pliz naomba leo upite kwangu ukitoka huko nimeandaa chakula sikupita’ kesho yake kaniwai asubui nikajibu nimefika site,
Apo haombi tena pesa..... akaniambia naomba nije huko, nikamuelekeza kaja kakaa na mimi adi jioni!! Tumetoka tukapita kwake kapika nikala, nikazagamua, tukawa kwenye mahusiano na ndo akasema mwanzo alikuwa hanipendi, alikuwa akifanya vile kunibamiza ili ni left, na mimi nikaanza kula mshahara wake” kuna kipindi gari ilizingua na sina mabovu, nikamcheki..... alinitumia milioni moja maana gari ilizingua gearbox ikawa yakubadili na alitoa sio kukopeshana ni sapporting......
Kwaiyo mwanamke akitaka pesa hata kama mwanzo mpe, tamaa ni kitu kibaya na atanogewa..... na unampa hata asipoomba utaona kama hatokupenda, wanawake wanapenda mwanaume kwa sababu kama sio mzuri, uwe na kibunda,