Wanaume tujadiliane, hivi ni muda gani sahihi wa kuanza kumpa mwanamke hela baada ya kumtongoza?

Wanaume tujadiliane, hivi ni muda gani sahihi wa kuanza kumpa mwanamke hela baada ya kumtongoza?

Tubake tena [emoji23] wakati wengine hawana mambo mengi
Ila kweli mfano mademu wa uswazi ni easy to carry kabisa hawana mambo mengi kama mchele wa poshori,,,,,sasa nenda kwa maslayq wapaka bleach utajua kwa nini adhana haina beat
 
Inategema na Kasi yako ya kuzipata pesa,
Kama bado kuna mchongo unauskilizia,
Hata baada ya mwaka sio mbaya ukimpa
 
Viti maalumu tunasemaje, Mwanamke aliyekubali ombi lako baada ya kumtongoza inatakiwa uanze kumuhudumia Mara moja maana Ni jukumu lako Kama mpenzi wako...samahani kwa kuingilia majadiliano yenu wanaume [emoji45][emoji45]
Wee unaumwa!
 
Zingatia;
  1. Usikubali kamwe kumpa fedha cash wengine huzifanyia ushirikina
  2. Usikubali kumtumia ati nauli au vocha nk wanazitumia kuwaonyeshea wengine kuwa wanajiweza
  3. Unaweza kumkaribisha lunch au dinner kama sehemu ya kuzungumza na kufahamiana
  4. Usikubali kumkopesha
  5. Ukikutana naye usimfuatilie atakuona una dhiki naye mwache ajitafakari kama anakupenda atakutafuta
Umenena vema
 
Kama huna uwezo wa kuhonga kanunue kimboka.
Hakuna atakaekupa uvungu bure hata kama sio leo, kesho utapigwa tukio la kufidia ya nyuma.
Mapenzi ni biashara, thus wazee wa mteremko wao ulenga pa kulelewa
Kama mapenz biashara, mbona hamlipi kodi serikalini, mbna hamtoi rist baada ya malipo, alafu tambua kua kuna vitu mungu aliweka tupeane bure mfano uchi, maji, salamu, hewa nk ila kulingana na ugumu wa maisha tunapaswa kutoa kiasi kidogo tena kwa hiari km shukrani, ndo maana soda unanua 600 ndoo ya maji japo bei zinatofautiana kulingan na mazingira, kuna huduma za msingi kwa binadamu hupaswi kuzithaminisha na hela saana japo pesa inazinogesha
 
Mjomba naongea kwa exiperience mwanamke usimpe hela kabla haujamla narudia kabla haujamla kuwa bahili sanaa, usifunguke sana na ukishamla funguka normal, ukihonga sana unaonekana bwege na mwanamke hatokupenda katu, mi nawza kuwa na hela ila mwanamke nikamkazia simpi kirahisi ntamwambia ngoja nitafute ndo nampa
Hakuna mwanamke utamla before kumpa hela Dunia hii na ukiw na msimamo huo hautakula mwanamke maisha na ukifanikiwa kwa hustle
 
Nimesikitishwa saba na tabia za mademu wengi, unamtongoza, hata kabla hajakukubali anaanza kukufungulia pochi yake ya matatizo.

Mara naomba nauli ya mama aende kumuuguza mama mkubwa, hivi nisingekutongoza ingekuwaje?

Mwingine ana kigari chake utasikia yaani nimezidisha kilometa 5OO naomba hela ya service na ya polish. Hivi uliweje kununua kitu usichoweza kulimudu?

Mwingine umeomtongoza tu hapohapo anakuunga na kwenye group lao la harusi mtoto wa baba yake mdogo ana kipaimara uchangie.

Mwingine mmekutana naye club mnakula raha, kesho saa sita mchana anakwambia, Babi nikwambie kitu?, unajua mdogo wetu alifariki wiki iliyopita maiti iko hospital, naomba utusaidie tukomboe mwili wake.

Hakuna muda sahihi mkuu! Ila ukikutana na mwanamke anaekupenda mizinga inakuja kistaarabu na hata unapomwambia haupo vzuri hanuni!!!
Ila kama kibunda kipo toa, mwanamke anaweza akawa anataka kukumuoa kwakukupiga mizinga ila mpe mpaka achoke ataanza kukupenda mwenyewe na hatotaka tena pesa, sa iyo ni kulia tu usipopokea simu maana anajua unagawa kibunda tena kwa mwingine!!!!

Nilishapata mwanamke wa kuomba pesa nilikuwa nampa bila kuomba mzigo na yeye alikuja na style ya nikuposhe.... nilikuwa nampa alafu simtafuti, alikula pesa zangu!!! Akaanza kunimiss sasa uko wapi nikuone mimi nipo site bize....

Mimi nauliza tu upo okay ndio, mambo yanenda ndio, najibu poa..... akaniambia pliz naomba leo upite kwangu ukitoka huko nimeandaa chakula sikupita’ kesho yake kaniwai asubui nikajibu nimefika site,

Apo haombi tena pesa..... akaniambia naomba nije huko, nikamuelekeza kaja kakaa na mimi adi jioni!! Tumetoka tukapita kwake kapika nikala, nikazagamua, tukawa kwenye mahusiano na ndo akasema mwanzo alikuwa hanipendi, alikuwa akifanya vile kunibamiza ili ni left, na mimi nikaanza kula mshahara wake” kuna kipindi gari ilizingua na sina mabovu, nikamcheki..... alinitumia milioni moja maana gari ilizingua gearbox ikawa yakubadili na alitoa sio kukopeshana ni sapporting......

Kwaiyo mwanamke akitaka pesa hata kama mwanzo mpe, tamaa ni kitu kibaya na atanogewa..... na unampa hata asipoomba utaona kama hatokupenda, wanawake wanapenda mwanaume kwa sababu kama sio mzuri, uwe na kibunda,
 
Chini ya Udhamini Wa
IMG_0264.JPG
DeepPond
 
Kama mapenz biashara, mbona hamlipi kodi serikalini, mbna hamtoi rist baada ya malipo, alafu tambua kua kuna vitu mungu aliweka tupeane bure mfano uchi, maji, salamu, hewa nk ila kulingana na ugumu wa maisha tunapaswa kutoa kiasi kidogo tena kwa hiari km shukrani, ndo maana soda unanua 600 ndoo ya maji japo bei zinatofautiana kulingan na mazingira, kuna huduma za msingi kwa binadamu hupaswi kuzithaminisha na hela saana japo pesa inazinogesha
Tangu kuumbwa KWA Dunia uchi haujawahi peana bure.
Hata mke unalipia kupitia matunzo
 
Nimesikitishwa saba na tabia za mademu wengi, unamtongoza, hata kabla hajakukubali anaanza kukufungulia pochi yake ya matatizo.

Mara naomba nauli ya mama aende kumuuguza mama mkubwa, hivi nisingekutongoza ingekuwaje?

Mwingine ana kigari chake utasikia yaani nimezidisha kilometa 5OO naomba hela ya service na ya polish. Hivi uliweje kununua kitu usichoweza kulimudu?

Mwingine umeomtongoza tu hapohapo anakuunga na kwenye group lao la harusi mtoto wa baba yake mdogo ana kipaimara uchangie.

Mwingine mmekutana naye club mnakula raha, kesho saa sita mchana anakwambia, Babi nikwambie kitu?, unajua mdogo wetu alifariki wiki iliyopita maiti iko hospital, naomba utusaidie tukomboe mwili wake.
Za Nini kwani anauza ???💔
 
Back
Top Bottom