Bueno
JF-Expert Member
- Sep 9, 2022
- 4,114
- 6,449
Kabisa yaan nilitafuta chochoro nikachochora sikurudi tena na namba yake nikaiweka kwenye Spam folder mpaka leo sijui ana hali gani huko alikoTimulia mbali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa yaan nilitafuta chochoro nikachochora sikurudi tena na namba yake nikaiweka kwenye Spam folder mpaka leo sijui ana hali gani huko alikoTimulia mbali
Kuombwa wewe usiopoombwa hio naniliu unatoa?Bila kuombwa hamtoi pia
Mimi demu nimpe mwenyewe akiniomba kabla sijala mzigo simpi, ntamtoa out ale anywe ila cash hapana akitaka asepe wapo wengiNimesikitishwa saba na tabia za mademu wengi, unamtongoza, hata kabla hajakukubali anaanza kukufungulia pochi yake ya matatizo.
Mara naomba nauli ya mama aende kumuuguza mama mkubwa, hivi nisingekutongoza ingekuwaje?
Mwingine ana kigari chake utasikia yaani nimezidisha kilometa 5OO naomba hela ya service na ya polish. Hivi uliweje kununua kitu usichoweza kulimudu?
Mwingine umeomtongoza tu hapohapo anakuunga na kwenye group lao la harusi mtoto wa baba yake mdogo ana kipaimara uchangie.
Mwingine mmekutana naye club mnakula raha, kesho saa sita mchana anakwambia, Babi nikwambie kitu?, unajua mdogo wetu alifariki wiki iliyopita maiti iko hospital, naomba utusaidie tukomboe mwili wake.
Sasa ndo nashangaa kwann hamtaki kuombwa🙄Kuombwa wewe usiopoombwa hio naniliu unatoa?
Ukiomba naniliu unapewa tu hata iwe usiku wa manane, 🤣Sasa ndo nashangaa kwann hamtaki kuombwa🙄
Mi sitaki hayo mauji wakati Sina hela 🙄Ukiomba naniliu unapewa tu hata iwe usiku wa manane, 🤣
Mauji tena 😂Mi sitaki hayo mauji wakati Sina hela 🙄
🤣🤣🤣🤣😏Mauji tena 😂
Kwa hio ukipewa hela unataka mauji? 🤣🙄🤣🤣🤣🤣😏
After that nitakuja kumwagiwa bila hata kuitwa.... daily Yaan🤭Kwa hio ukipewa hela unataka mauji? 🤣🙄
Unamwagiwa tu kwa raha zako huku kibunda kipo mezani kinakutazama, 🤣🙄After that nitakuja kumwagiwa bila hata kuitwa.... daily Yaan🤭
Kabisa hii nina experience nayo.Mwanamke anaekupenda haombi pesa, na ukimpa hapokei. Labda michango ya kawaida katika jamii.
Wewe na 4400 others mna_KATAA NDOA😂😂😂Wengine hutongozwa na hawana hela usiishi kwa kukariri..
KATAA NDOA
Wote hapo hawana hadhi ya kupewa kwa lengo la kutongoza. Kwa kama hao unaweza kuwapa kama ombaomba.Nimesikitishwa saba na tabia za mademu wengi, unamtongoza, hata kabla hajakukubali anaanza kukufungulia pochi yake ya matatizo.
Mara naomba nauli ya mama aende kumuuguza mama mkubwa, hivi nisingekutongoza ingekuwaje?
Mwingine ana kigari chake utasikia yaani nimezidisha kilometa 5OO naomba hela ya service na ya polish. Hivi uliweje kununua kitu usichoweza kulimudu?
Mwingine umeomtongoza tu hapohapo anakuunga na kwenye group lao la harusi mtoto wa baba yake mdogo ana kipaimara uchangie.
Mwingine mmekutana naye club mnakula raha, kesho saa sita mchana anakwambia, Babi nikwambie kitu?, unajua mdogo wetu alifariki wiki iliyopita maiti iko hospital, naomba utusaidie tukomboe mwili wake.
Hahahaha kwa mwendo huo tuwe tunawabaka tusitongozee tenaa maana imeshakuja janga la taifaNimesikitishwa saba na tabia za mademu wengi, unamtongoza, hata kabla hajakukubali anaanza kukufungulia pochi yake ya matatizo.
Mara naomba nauli ya mama aende kumuuguza mama mkubwa, hivi nisingekutongoza ingekuwaje?
Mwingine ana kigari chake utasikia yaani nimezidisha kilometa 5OO naomba hela ya service na ya polish. Hivi uliweje kununua kitu usichoweza kulimudu?
Mwingine umeomtongoza tu hapohapo anakuunga na kwenye group lao la harusi mtoto wa baba yake mdogo ana kipaimara uchangie.
Mwingine mmekutana naye club mnakula raha, kesho saa sita mchana anakwambia, Babi nikwambie kitu?, unajua mdogo wetu alifariki wiki iliyopita maiti iko hospital, naomba utusaidie tukomboe mwili wake.
Ndio hivyo wote hao tunakataa NDOAWewe na 4400 others mna_KATAA NDOA😂😂😂