Namuhudumiaje? Nianze kutunza ndugu zake na kutoa maiti zao mortuary?Viti maalumu tunasemaje, Mwanamke aliyekubali ombi lako baada ya kumtongoza inatakiwa uanze kumuhudumia Mara moja maana Ni jukumu lako Kama mpenzi wako...samahani kwa kuingilia majadiliano yenu wanaume ππ
Timulia mbaliHio Mimi nimewahi kuambiwa Mwanamke asiekupenda ataishia kukupiga mizinga na mabomu hadi kichwa chako kikupasuke means hakupendi kwa hio inabidi ujue kuzisoma alama za nyakati,
Mbaya zaidi alieniambia hivyo na yeye akaanzisha huo utaratibu wakati kashanitobolea Siri nikampiga chini fasta yaan bila kupoteza muda,
Ukiona hivyo ujue huyo mwanamke hujamvutia na kiufupi hana time na wewe... kwa hiyo ameamua akugeuze kitegauchumi kwa kadiri ufala wako utakavyoruhusu. Siku ukiacha ufala utaacha kumpa hela wakati hujala mzigo, au utadai nipe nikupe. Hapo ndo kuna mawili... aidha atakupotezea kimoja (wengi wanaombagaombaga hela hufanya hivyo) au kama ana shida sana basi atakuletea mbususu na bili zitaendelea kuja kama kawaida.Nimesikitishwa saba na tabia za mademu wengi, unamtongoza, hata kabla hajakukubali anaanza kukufungulia pochi yake ya matatizo.
Mara naomba nauli ya mama aende kumuuguza mama mkubwa, hivi nisingekutongoza ingekuwaje?
Mwingine ana kigari chake utasikia yaani nimezidisha kilometa 5OO naomba hela ya service na ya polish. Hivi uliweje kununua kitu usichoweza kulimudu?
Mwingine umeomtongoza tu hapohapo anakuunga na kwenye group lao la harusi mtoto wa baba yake mdogo ana kipaimara uchangie.
Mwingine mmekutana naye club mnakula raha, kesho saa sita mchana anakwambia, Babi nikwambie kitu?, unajua mdogo wetu alifariki wiki iliyopita maiti iko hospital, naomba utusaidie tukomboe mwili wake.
Tunahitaji mchango wako zaidi, tabasamu lako halitoshi ukizingatia wewe ni katibu wa wanawake wasomi Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
Usomi na hii form 4 B na kupata four ya 32 πππHebu nitake radhiTunahitaji mchango wako zaidi, tabasamu lako halitoshi ukizingatia wewe ni katibu wa wanawake wasomi Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23]
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Aaah jamani!si unachangia kamchango Kama mwanafamiliaNamuhudumiaje? Nianze kutunza ndugu zake na kutoa maiti zao mortuary?
πππ uwongo mimi siuwezi, naunakana cheo chako leo, mimi nakuzoom tu. Tafadhari katibu, hebu tia neno lako, tunakuomba tafadhariππUsomi na hii form 4 B na kupata four ya 32 πππHebu nitake radhi
Upele unamuotaga asie na kucha aisee π π kunawanaume watoaji wazuri tu ila hawajakutana na maslay Yan Hadi mtu anakuuliza hutaki kusuka kwani π upande wapili ni hekaheka kilasiku nyuz mpya ππTunahitaji mchango wako zaidi, tabasamu lako halitoshi ukizingatia wewe ni katibu wa wanawake wasomi Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23]
π€£π€£π€£ daaah! Waingereza wanasemaga with immediate effectViti maalumu tunasemaje, Mwanamke aliyekubali ombi lako baada ya kumtongoza inatakiwa uanze kumuhudumia Mara moja
Asante Sana kwa kukazia na lugha ya malkia nadhani wataelewa vizuriππ€£π€£π€£ daaah! Waingereza wanasemaga with immediate effect
Kama mwanamume hapigwi vizinga ovyoovyo anaweza kuuliza hivyo.Upele unamuotaga asie na kucha aisee π π kunawanaume watoaji wazuri tu ila hawajakutana na maslay Yan Hadi mtu anakuuliza hutaki kusuka kwani π upande wapili ni hekaheka kilasiku nyuz mpya ππ
Bila kuombwa hamtoi piaWanawake nyoko sana, halafu usiku tulikuwa wote club. Wanawake mizinga yenu inaboa sana, sijui kwanini hamtakagi jamaa akupe tu mwenyewe hela bola kumuomba?