Kamanda hapa una maanisha aje?Nimewasikia mademu wengi wakisema wanaume ambao hawawapendi huwa wanawakubalia ili wasisumbuliwe
Halafu wanaanza kuomba hela kila mida ili automatically mchizi umpige chini na hilo ndio lengo lake
πππππNimesikitishwa saba na tabia za mademu wengi, unamtongoza, hata kabla hajakukubali anaanza kukufungulia pochi yake ya matatizo.
Mara naomba nauli ya mama aende kumuuguza mama mkubwa, hivi nisingekutongoza ingekuwaje?
Mwingine ana kigari chake utasikia yaani nimezidisha kilometa 5OO naomba hela ya service na ya polish. Hivi uliweje kununua kitu usichoweza kulimudu?
Mwingine umeomtongoza tu hapohapo anakuunga na kwenye group lao la harusi mtoto wa baba yake mdogo ana kipaimara uchangie.
Mwingine mmekutana naye club mnakula raha, kesho saa sita mchana anakwambia, Babi nikwambie kitu?, unajua mdogo wetu alifariki wiki iliyopita maiti iko hospital, naomba utusaidie tukomboe mwili wake.
Yaaah yaaah naposema apewe jembe tumaanishe kweli... Sio kuleta habari za kusuka nywele hadi huku mgongoni..... Alaaaaaah πππMwanamke apewe jembe akallime au sio jombaaa?
Mademu wa JF hatari sanaHakuna muda sahihi mkuu! Ila ukikutana na mwanamke anaekupenda mizinga inakuja kistaarabu na hata unapomwambia haupo vzuri hanuni!!!
Ila kama kibunda kipo toa, mwanamke anaweza akawa anataka kukumuoa kwakukupiga mizinga ila mpe mpaka achoke ataanza kukupenda mwenyewe na hatotaka tena pesa, sa iyo ni kulia tu usipopokea simu maana anajua unagawa kibunda tena kwa mwingine!!!!
Nilishapata mwanamke wa kuomba pesa nilikuwa nampa bila kuomba mzigo na yeye alikuja na style ya nikuposhe.... nilikuwa nampa alafu simtafuti, alikula pesa zangu!!! Akaanza kunimiss sasa uko wapi nikuone mimi nipo site bize....
Mimi nauliza tu upo okay ndio, mambo yanenda ndio, najibu poa..... akaniambia pliz naomba leo upite kwangu ukitoka huko nimeandaa chakula sikupitaβ kesho yake kaniwai asubui nikajibu nimefika site,
Apo haombi tena pesa..... akaniambia naomba nije huko, nikamuelekeza kaja kakaa na mimi adi jioni!! Tumetoka tukapita kwake kapika nikala, nikazagamua, tukawa kwenye mahusiano na ndo akasema mwanzo alikuwa hanipendi, alikuwa akifanya vile kunibamiza ili ni left, na mimi nikaanza kula mshahara wakeβ kuna kipindi gari ilizingua na sina mabovu, nikamcheki..... alinitumia milioni moja maana gari ilizingua gearbox ikawa yakubadili na alitoa sio kukopeshana ni sapporting......
Kwaiyo mwanamke akitaka pesa hata kama mwanzo mpe, tamaa ni kitu kibaya na atanogewa..... na unampa hata asipoomba utaona kama hatokupenda, wanawake wanapenda mwanaume kwa sababu kama sio mzuri, uwe na kibunda,
Nakushauri usitoe pesa yeyote kwa mwanamke ambaye hajakuzalia watoto wako. Kamwe, utajuta vibaya sana!Nimesikitishwa saba na tabia za mademu wengi, unamtongoza, hata kabla hajakukubali anaanza kukufungulia pochi yake ya matatizo.
Mara naomba nauli ya mama aende kumuuguza mama mkubwa, hivi nisingekutongoza ingekuwaje?
Mwingine ana kigari chake utasikia yaani nimezidisha kilometa 5OO naomba hela ya service na ya polish. Hivi uliweje kununua kitu usichoweza kulimudu?
Mwingine umeomtongoza tu hapohapo anakuunga na kwenye group lao la harusi mtoto wa baba yake mdogo ana kipaimara uchangie.
Mwingine mmekutana naye club mnakula raha, kesho saa sita mchana anakwambia, Babi nikwambie kitu?, unajua mdogo wetu alifariki wiki iliyopita maiti iko hospital, naomba utusaidie tukomboe mwili wake.
Ety jirani yake amepata amefariki na wamemchagua yeye kwenda kupeleka maiti kijijini kwao na jiran anahitaji pesa ya kumlipa dereva na pesa ya mafuta. Poleni sana wakaka.Anamtongoza asubuhi, mchana anakupigia kaka kakamatwa na dhahabu feki polisi wanataka million mbili