Wanaume tujadiliane; nini faida za kulala upande wa kulia wa mwanamke?

Kama bado sijaelewa unamanisha nn kusema ale upande wangu wa kushoto kwani kulala Julia kutatoa tofauti yoyote kihisia naomba ifafanue hii vizuri ili tuelewane
 
Kuna uzi upo humu kwamba ukiona kitanda chako kinagusa ukutani ujue wewe ni masikini 😆😆😆
Haaaaaaah htr hii from now nakisogeza kikae Kati hata ikitokea manzi kaja akute kipo Kati apa imekaaje😂😂
 
Wakati naoa niliambiwa na Bibi zangu kuwa mwanamke analala upande wa ukutani au ndio huo upande WA kushoto mnaosema......hao mabibi waliniambia kuwa lengo ni mwanamke akiamka usiku kwenda chooni inamaana lazima ataniruka mm hapo nitashtuka lengo akitoka chooni aliwe,hizo ndo hekima za wazee WA zamani na ndivyo walivyoniambia
 
Jamani jamani, kwahiyo ukishtuka imòo, unakua umejiandaa saa ngapi huo mnara?😂😂
 
Naona wababu wazamani walikuwa wanajua wajibu wao, ila sasa kizazi hiki mke akinyanyuka kwenda kujisaidia yeye ndiyo anageka upande mwingine na kujifunika gubi gubi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] au anajibu huwezi kunyanyuka taratibu mpaka unisumbue??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…