Wanaume tujadiliane; nini faida za kulala upande wa kulia wa mwanamke?

Nadhan ndio maana ndoa zao zilikuwa zinadumu Sana.....walikuwa wanajua thamani ya ndoa na mambo yake
 
Wazee wazamani walikuwa nna hekima ndiyo maana vitanda vyao vilikuwa vidogo vidogo, na kila anayetaka kunyanyuka au kugeuka lazima amguse mwenzie, sasa siku hizi Mme aweza jiwekea hata net mwenyewe na mke akabaki analiwa na mbu upande mwingine ha ha ha
 
Nadhan ndio maana ndoa zao zilikuwa zinadumu Sana.....walikuwa wanajua thamani ya ndoa na mambo yake
Ndiyo maana yake, sasa nikikumbuka wazazi wetu hata walumbane vipi lakini baadaye utawaona wapo pamoja, siku hizi hujui Mme nani wala mke nani nikununiana tu kwakwenda mbele
 
Na ujue hata kitanda kuwa kidogo kinasaidia ugomvi kuisha haraka,coz mnagusana mara Kwa mara na mwisho wa siku imo! Sasa haya mavitanda yetu ya sita Kwa sita ndio tunanuniana hata wiki nzima!
 
Sasa ticha, twende taratibu, si tunaongelea mlango huu huu wa kuingia na kutoka chumbani au mlango upi mwingine?
Kiafya mwanamke atalala upande wa ukuta!
Aisee[emoji16]
 
Mi nikiwa na dem silali Kwan kaja kulala
 
Na ujue hata kitanda kuwa kidogo kinasaidia ugomvi kuisha haraka,coz mnagusana mara Kwa mara na mwisho wa siku imo! Sasa haya mavitanda yetu ya sita Kwa sita ndio tunanuniana hata wiki nzima!
Mnapitana kama hamjuani vile jamani, halafu mtu anapika na chakula unakula vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…