Wanaume tujadiliane; nini faida za kulala upande wa kulia wa mwanamke?

Nijuavyo kushoto au kulia sio ishu, ila mwanaume anapaswa kulala jiran na mlango ulipo na panga lake chini ya mto akiwa na pensi lake.
 
Nijuavyo kushoto au kulia sio ishu, ila mwanaume anapaswa kulala jiran na mlango ulipo na panga lake chini ya mto akiwa na pensi lake.
😳alale na pensi Tena!? Sa itakuwaje 🤔
 
yes itakuaje nin tena? Ukitaka mechi unaomba tu.
Sio inatokea dharula unaanza kutafuta nguo, maana ya dharula inakua haipo tena.
🤣daa,umefungua code chap Kwa haraka 🤜
 
🤣daa,umefungua code chap Kwa haraka 🤜
hahahaha mbona mambo ya kawaida sana. Sema sisi waswahili tunamaisha ya kukalili. Usiku muda wa kulala mtu anataka mechi, kwann isifanyike kabla ya kulala au wakati wa kuoga? Au kwann isifanyike asubuh kbl ya kwenda job au kuahirisha kabisa had weekend? hahahah
 
Aisee mkuu,hapo unaharibu ....wengine huwa hatuachi siku...labda kipindi Cha bleed tu ndo sikusumbui🚴🚴
 
Aisee mkuu,hapo unaharibu ....wengine huwa hatuachi siku...labda kipindi Cha bleed tu ndo sikusumbui🚴🚴
Kuwa na mwanamke wa aina yako ni raha sana..Mechi iwe kila siku labda siku ya dharula tu ndo mapumziko.
Mi nashangaa kuna baadhi ya sisi wanaume wanajisifia nina wiki au mwezi sija do na wife! Ukimuliza sababu ni nini anakwambia huwa nimechoka sana.
Nabaki nashangaa tu na kujiuliza hivi kweli inawezekana...
 
Match ni daily...mpumzike Ili iweje sasa😋
 
Ni mwendo wa kunyata TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…