The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Naomba kwamba kuwapa heshima wanawake wote mnaosoma hili bandiko.
Naomba kukiri kwamba wanawake ni viumbe wema sana, sana. Sehemu kubwa sana ya matatizo ambayo wanawake wanasemekana wanayo yanatoka kwa sisi wanaume.
Binafsi toka nimewajua wanawake, naishi maisha ya furaha sana. Wanawake ukiishi ama ukiwaelewa vizuri, kukutunuku uchi wala sio shida kabisa kwao, watakutunuku hadi utakimbia uchi.
Wanawake nawatakia mfanikiwe kwa kila mnachofanya mama zangu. Nyie ni viumbe wema sana hapa Duniani.