Wanaume tujifunze kuishi na wanawake vizuri. Wanawake ni viumbe wema sana

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,017
Reaction score
19,506
Naomba kwamba kuwapa heshima wanawake wote mnaosoma hili bandiko.

Naomba kukiri kwamba wanawake ni viumbe wema sana, sana. Sehemu kubwa sana ya matatizo ambayo wanawake wanasemekana wanayo yanatoka kwa sisi wanaume.

Binafsi toka nimewajua wanawake, naishi maisha ya furaha sana. Wanawake ukiishi ama ukiwaelewa vizuri, kukutunuku uchi wala sio shida kabisa kwao, watakutunuku hadi utakimbia uchi.

Wanawake nawatakia mfanikiwe kwa kila mnachofanya mama zangu. Nyie ni viumbe wema sana hapa Duniani.
 
Haya buana
Kumbe uchi ndio kila kitu eeeeh

Haya, ngoja mama zako tukushukuru tuu kwa kututakia mafanikio. Nawe barikiwa
 
Naomba kwamba kuwapa heshima wanawake wote mnaosoma hili bandiko.

Naomba kukiri kwamba wanawake ni viumbe wema sana, sana. Sehemu kubwa sana ya matatizo ambayo wanawake wanasemekana wanayo yanatoka kwa sisi wanaume.

Binafsi toka nimewajua wanawake, naishi maisha ya furaha sana. Wanawake ukiishi ama ukiwaelewa vizuri, kukutunuku uchi wala sio shida kabisa kwao, watakutunuku hadi utakimbia uchi.

Wanawake nawatakia mfanikiwe kwa kila mnachofanya mama zangu. Nyie ni viumbe wema sana hapa Duniani.
Sawa
 
Nimekupata mkuu ila nadhani unamaanisha kuwa tuishi na wanawake kinafiki coz malengo ya mwanaume anayajua mwenyewe kama ni papuchi or anything....
But In reality ni kuwa kila Binadamu anapaswa kuishi Binadamu mwenzie kwa wema (Hakuna cha jinsia) tena vitabu vya dini vimeenda mbali kueleza binadam anatakiwa kuishi vzr na hata wanyama, mimea na wadudu.

NB._ Ishi na mwanamke yyt kwa akili mingi kijana
 
Naomba kwamba kuwapa heshima wanawake wote mnaosoma hili bandiko.

Naomba kukiri kwamba wanawake ni viumbe wema sana, sana. Sehemu kubwa sana ya matatizo ambayo wanawake wanasemekana wanayo yanatoka kwa sisi wanaume.

Binafsi toka nimewajua wanawake, naishi maisha ya furaha sana. Wanawake ukiishi ama ukiwaelewa vizuri, kukutunuku uchi wala sio shida kabisa kwao, watakutunuku hadi utakimbia uchi.

Wanawake nawatakia mfanikiwe kwa kila mnachofanya mama zangu. Nyie ni viumbe wema sana hapa Duniani.
Siku ukifirisika pia uje utuambie wema wa wanawake.
 
Naomba kwamba kuwapa heshima wanawake wote mnaosoma hili bandiko.

Naomba kukiri kwamba wanawake ni viumbe wema sana, sana. Sehemu kubwa sana ya matatizo ambayo wanawake wanasemekana wanayo yanatoka kwa sisi wanaume.

Binafsi toka nimewajua wanawake, naishi maisha ya furaha sana. Wanawake ukiishi ama ukiwaelewa vizuri, kukutunuku uchi wala sio shida kabisa kwao, watakutunuku hadi utakimbia uchi.

Wanawake nawatakia mfanikiwe kwa kila mnachofanya mama zangu. Nyie ni viumbe wema sana hapa Duniani.
Kutunukiwa uchi tu na frida ndio umeona unawajua wanawake wote?

Tembea uone mkuu na siku hela ya kuhonga ikikata ulete mrejesho juu ya wema wa frida😅
 
Ujumbe umekaa kinafki sana,but poa tunashukuru mkuu
 
Umeanza vizuri Sana

Tatizo limeanzia hapo kwenye uchi ,

Unahitaji kusaidiwa.[emoji276]
Ulitaka niseme nini? Nje ya uchi kwa mwanamke ambae sio ndugu yako atakupa nini? Hakuna.

Na je wanaume hua tunawatafta wanawake watupe hela ama uchi? Jibu liko wazi.
 
Back
Top Bottom