Wanaume tujifunze kushukuru Wake zetu baada ya tendo la ndoa na baada ya chakula

Shukurani yetu ni motoo utakautoaa, kama ni kidogo kuliko hitaji ni bora ulipe maana umepoteza muda buree
Hata upeleke moto vipi, wanawake wanao kubali asante kavu hisio ambatana na fedha ni wachache kwenye kumi hawazidi watatu. Ndio maana hata wale wenye pumzi na mbavu nene,wanakuja kugongewa na vibabu wenye vitambi na fedha zao,hawana mambo mengi kimoja chali.
 
Pengine ni kutokujua, Mume unapopewa tendo la ndoa na Mkeo ni huduma ile. Unapaswa kumpa Asante mara amalizapo kazi hii adhimu ya kukuhudumia Ili aendelee kuiboresha zaidi zaidi. Na hili huongeza sana ladha ya Mapenzi na upendo kwako.

Kadhalika hata anapokupikia na hata kikufulia unapaswa kumshukuru Mkeo. Hata kama chakula umenunua wewe. Hii itamfanya aendelee kukuhudumia vema kwa mapishi na kujali sana afya Yako.

Tusijishike sana na neno HAKI ya ndoa. Fahamu yule anayekupa HAKI hiyo naye anapaswa kuwa vizuri kisaikolojia, kiakili na kihisia.

Neno Asante kwa Mkeo ni Moja ya vitu vinachochoea na kusisimua sana Mapenzi yake ya dhati kwako.
Mke akikupenda atakuhudumia kwa kujali vizuri, na hivyo utakuwa salama zaidi.

@Kaeni nao kwa akili.
Haya basi Asante...
 
Hii umesema kitu muhimu sana,mimi nakifanya kila siku,kwanza ni lazima nikionja tu msosi ni lazima nimsifie kuwa chakula ni kitamu sana,na napomaliza kula kile chakula kitanda,namshukuru lakini ni lazima nibusu papuchi na vikolombwezo vyake vyote
 
Hao wakwako mkuu ndio ukichomoa wanakimbilia bafuni moja kwa moja. Sasa jiulize kwanini wanakimbilia bafuni badala ya kupumzika🤣🤣🤣🤣
mmoja kati yenu ,alidondoka bafuni nashanga harudi ...kufungua mlango kalala kafungua maji yanamwagikia K... wengine Siri Yao
 
Pengine ni kutokujua, Mume unapopewa tendo la ndoa na Mkeo ni huduma ile. Unapaswa kumpa Asante mara amalizapo kazi hii adhimu ya kukuhudumia Ili aendelee kuiboresha zaidi zaidi. Na hili huongeza sana ladha ya Mapenzi na upendo kwako.

Kadhalika hata anapokupikia na hata kikufulia unapaswa kumshukuru Mkeo. Hata kama chakula umenunua wewe. Hii itamfanya aendelee kukuhudumia vema kwa mapishi na kujali sana afya Yako.

Tusijishike sana na neno HAKI ya ndoa. Fahamu yule anayekupa HAKI hiyo naye anapaswa kuwa vizuri kisaikolojia, kiakili na kihisia.

Neno Asante kwa Mkeo ni Moja ya vitu vinachochoea na kusisimua sana Mapenzi yake ya dhati kwako.
Mke akikupenda atakuhudumia kwa kujali vizuri, na hivyo utakuwa salama zaidi.

@Kaeni nao kwa akili.
Kwaiyo chief miaka yote unadabhangura tu ukishamaliza haja zako mwendo unauanza kucaa ama kulala😂
 
Back
Top Bottom