1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 10,198
- 14,372
System collapseNgumu sana main server na backup server kujam kwa pamoja.
Ikitokea hivyo sijui itakuwaje ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Huyo mama E lazima atakuwepo humu,. Maana sio kwa kamba hizi๐๐Huwa hamuogopi hata magonjwa? Vipi hiyo backup yako (ambayo nayo ina backup zake zenye backup zenye backup) ikikuunga kwenye gridi ya taifa ukamletea mkeo? Kama umeoa rafiki yako mshikaji anayejielewa na mmeshibana (kama mimi na Mama E), backups za nini tena kama siyo kwenda kujiunganisha na maroho mengine huko yatakayoleta mikosi kwenye ndoa na familia yenu; na hata kuwasambaratisha?
Sasa backup server sindio itakuwa chanzo cha mgogoro mpya?Huyu wangu, mgogoro ulitokana na mawazo kuwa nachepuka.
Mama E ana miaka zaidi ya mitatu hajakanyaga humu. Ni wale wakongwe waliotoka na JF mwaka 2010 - 2011 huko...ikaja ikawachosha wakapotea mazima!Huyo mama E lazima atakuwepo humu,. Maana sio kwa kamba hizi๐๐
Just kidding
Huwa kuna downs mdau.Mama E ana miaka zaidi ya mitatu hajakanyaga humu. Ni wale wakongwe waliotoka na JF mwaka 2010 - 2011 huko...ikaja ikawachosha wakapotea mazima!
Halafu hizi siyo kamba Leejay49. Unajua. Katika maisha haya inafika mahali na wakati mtu unaamua kuachana na baadhi ya mambo. Makuzi ya kiroho, kisaikolojia, kijamii, kinafsiya, kihisia na hata kimwili tu yanatutaka tufanye hivyo kama kweli tuna azima ya kujiboresha. Siyo lazima kuwa na backup kwenye ndoa; na kuna ndoa za kweli ambamo wahusika wameamua kabisa kabisa afe kipa afe refa no backups no matter what. Inawezekana Leejay49! Inawezekana!
Hongera sana aisee,. Mmenyooka mpaka najiskia raha..Mama E ana miaka zaidi ya mitatu hajakanyaga humu. Ni wale wakongwe waliotoka na JF mwaka 2010 - 2011 huko...ikaja ikawachosha wakapotea mazima!