Wanaume tulioko kwenye Ndoa, Backup ni muhimu sana.

Wanaume tulioko kwenye Ndoa, Backup ni muhimu sana.

Huwa hamuogopi hata magonjwa? Vipi hiyo backup yako (ambayo nayo ina backup zake zenye backup zenye backup zenye backup zenye...) ikikuunga kwenye gridi ya taifa nawe ukaja ukamuunga mkeo? Kama umeoa rafiki yako mshikaji anayejielewa na mmeshibana (kama mimi na Mama E), backups za nini tena kama siyo kwenda kujiunganisha na maroho mengine huko yatakayoleta mikosi kwenye ndoa na familia yenu; na hata kuwasambaratisha? Ya nini kumfungulia milango ya kiroho shetani?

➡️➡️➡️ Hakuna dhambi yenye gharama kubwa hapa duniani kama hii dhambi ya uzinzi! 📌
na vp kama naye MKEWE akawa na backup zake zenye backup zenye backup zenye backup zenye...) 🤔❗🙌😂🤣
 
Ukiwa na mchepuko wa kudumu basi ndoa kusambaratika ni ize mnoo labda uwe mtu wa hit and run. Kutulia ni bora zaidi
 
Alikubania sababu alitoka kuchepuka na mwanaume mwenzio,na ww ulivyo zoba ukakubadilishia kibao.
 
Mwanamke anaanzaje kukunyima uke ilihali hayuko period,halafubu unajiita Mume-Mume gani anapangiwa na Mwanamke siku ya kumulala.
 
Katika vitu vinanishinda kuelewa Duniani hapa ni Mwanamke kumunyima unyumba Mume,yani sijawahi kuelewa hata kidgo.

Binafsi yangu huyo Mwanamke nitamfukuza siku hiyo hiyo,maana kinachofanya mwanaume ulale kitanda kimoja na mtu ambaye sio ndugu yako ni huo UKE.
 
Tahadhari: Si hamasishi watu kuchepuka.

Wakuu, ili kuwa na ndoa imara na itakayodumu! Jitengenezee backup yako ya kupiga mambo pale ambapo nyumbani kwako mambo hayaendi sawa.

Hii mbinu inasaidia sana.

Binafsi nitafanya hivyo ili kunusuru ndoa yangu na kuimarisha familia.

Few days ago nilikuwa na mgogoro kidogo uliodumu karibia mwezi mmoja na sina backup yoyote.
I struggled sana kwenye swala zima la utamu! Na inatesa sana.

Mgogoro umeisha ila, I should create a backup server!!
Sio kwa mateso yale...
Backup is a necessity
 
Amenitangulia.
Ila jana baada ya recovery tulipima kwanza.
Mimba na HIV dadeki
:BearLaugh: :BearLaugh:
What a plot twist! !

I wasnt expecting this.

Si you said you want to build a strong family!

This is more like a circus family. Or a filthy family. Una undugu na Will Smith?
 
:BearLaugh: :BearLaugh:
What a plot twist! !

I wasnt expecting this.

Si you said you want to build a strong family!

This is more like a circus family. Or a filthy family. Una undugu na Will Smith?
Sikuelewi!!
 
Back
Top Bottom