Wanaume tulioko kwenye Ndoa, Backup ni muhimu sana.

Wanaume tulioko kwenye Ndoa, Backup ni muhimu sana.

Katika vitu vinanishinda kuelewa Duniani hapa ni Mwanamke kumunyima unyumba Mume,yani sijawahi kuelewa hata kidgo.

Binafsi yangu huyo Mwanamke nitamfukuza siku hiyo hiyo,maana kinachofanya mwanaume ulale kitanda kimoja na mtu ambaye sio ndugu yako ni huo UKE.
🤣🤣🤣
 
Mie mama watoto nishamwambia tugombane sisi, lakini sio vikojoleo vyetu, hakuna kukosana ambako hatupeani uroda.. na mara nyingi baada ya game ugomvi unakuwa umeisha, hawezi maliza gemu asitabasamu, HAIWEZEKANI, atajichekesha na vimaneno vya hapa na pale, akitabasamu, ugomvi ndio umeisha rasmi
 
Backup ya fedha ndio kila kitu.
Unaweza fanya chochote unachotaka kwa muda wowote.
Na hapo mwanamke akishakusoma kuwa ni ngumu kupata alternative hakuna rangi ataacha kukuonesha.
Hakika mkuu upo sahihi kwenye hoja zote.
 
Mie mama watoto nishamwambia tugombane sisi, lakini sio vikojoleo vyetu, hakuna kukosana ambako hatupeani uroda.. na mara nyingi baada ya game ugomvi unakuwa umeisha, hawezi maliza gemu asitabasamu, HAIWEZEKANI, atajichekesha na vimaneno vya hapa na pale, akitabasamu, ugomvi ndio umeisha rasmi
🤣🤣
 
Backup ya fedha ndio kila kitu.
Unaweza fanya chochote unachotaka kwa muda wowote.
Na hapo mwanamke akishakusoma kuwa ni ngumu kupata alternative hakuna rangi ataacha kukuonesha.
Msiwege mnachanganya masala ya MMU na pesa.
Hii jukwaa ni mahususi kwa masala ya mapenzi na mahusiano
 
Nakazia ujumbe WA mleta mada.
Mwanaume at least unatakiwa uwe na back up in case nyumbani mambo yakiharibika angalau utakuwa na pa kujishikiza wakati unaendelea kurekebisha ya nyumbani kwako
 
Mama E ana miaka zaidi ya mitatu hajakanyaga humu. Ni wale wakongwe waliotoka na JF mwaka 2010 - 2011 huko...ikaja ikawachosha wakapotea mazima!

Halafu hizi siyo kamba Leejay49. Unajua. Katika maisha haya inafika mahali na wakati mtu unaamua kuachana na baadhi ya mambo. Makuzi ya kiroho, kisaikolojia, kijamii, kinafsiya, kihisia na hata kimwili tu yanatutaka tufanye hivyo kama kweli tuna azima ya kujiboresha. Siyo lazima kuwa na backup kwenye ndoa; na kuna ndoa za kweli ambamo wahusika wameamua kabisa kabisa afe kipa afe refa no backups no matter what. Inawezekana Leejay49! Inawezekana!
Aisee😅
 
Ile UEFA 2nd leg ya Barca vs intermilan,


Wife anauliza kati yake na UEFA yupi muhimu, Eti niangalizie home, nisiende bar. otherwise nkirudi hatonipa tamu.

Nmekaidi na nmerudi usiku mnene na kweli kagoma kunipa,

Na Hadi Leo hii hajanipa, nmemkaushia TU, sjamuuliza chochote na Wala hatujagombana
Hivi deep uliachanaga na ule mchepuko wako😅
 
Nakazia ujumbe WA mleta mada.
Mwanaume at least unatakiwa uwe na back up in case nyumbani mambo yakiharibika angalau utakuwa na pa kujishikiza wakati unaendelea kurekebisha ya nyumbani kwako
Na nyumbani kwako una play wisely
 
Back
Top Bottom