Wanaume tulioko kwenye Ndoa, Backup ni muhimu sana.


Yeye alishakuwa na backup plan kabla yako
 
Ile UEFA 2nd leg ya Barca vs intermilan,


Wife anauliza kati yake na UEFA yupi muhimu, Eti niangalizie home, nisiende bar. otherwise nkirudi hatonipa tamu.

Nmekaidi na nmerudi usiku mnene na kweli kagoma kunipa,

Na Hadi Leo hii hajanipa, nmemkaushia TU, sjamuuliza chochote na Wala hatujagombana
 
Hiki ni kizazi cha nyoka kabisa. Umeshindwa kuchepuka kimyakimya, mpaka ushirikishe na wengine kweli? Umesema uhamasishi? Unafundisha kitu cha hovyo sana na mkeo nampa pole.

Kijana ambaye hajaoa, ataiangalia sekta ya ndoa kwa jicho gani? Ndiyo maana vijana wamejiamulia KATAA NDOA, kwasababu ya watu kama nyinyi. Kati ya nyuzi za hovyo kwa mwaka huu, hii ni mojawapo. 🚮
 
Alikuwa anatafuta sababu, jamaa alimuumiza ngoja apone uone kama hajakubaka.
 
Sio alieoa tu, mwanaume yoyote kua na mwanamke zaidi ya mmoja ni afya kwako kimwili na kiakili. Hilo huhitaji kua umemaliza darasa la 7 kulielewa.

Mwanaume kua na mwanamke mmoja ni hatari sana kuliko kua nae zaidi ya mmoja. Ukitathmini madhara na mateso ya kiakili unayopitia mwanaume kwa kunyimwa utamu na madhara ambayo ungeyapata kwa kua na mwanamke mwingine, madhara ya kua na mwanamke mwingine ni 10% ya madhara ya kiakili unayopata pale ukinyimwa utamu.
 
🤣🤣🤣 tunapitia mengi
 
Exactly! Nimefanya tathmini yakina sana.
Na haya yakunyimana sio mara moja, na yananiathiri sana
 
Hii ni minor thing compare na mengine ninatohudumiwa na mke wangu.
Hata nikiwaangalia watoto wangu. I feel privileged...
Hao kataa ndoa hawajui wanataka nini.
 
Server redundancy ni muhimy japo ni gharama.
Ila nimeshangaa Baba mwenye nyumba na mkeo mna mgogoro mwezi na mnakaa nyumba moja, mkuu kuna mahali una shida?
 
Hakikisha kama umeoa basi huuzi mechi njee yani hakikisha shoo yeyote unayopiga nje unajikinga yani hii itasaidia sana karaha zisizo za lazima mfano ma UTI, gono, umeme, mimba zisizotarajiwa n.k

Backup ni muhimu sanaa kuna wanawake wana visiranii balaa bila mpango wa kando utapasua komwe sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…