Wanaume tulioko kwenye Ndoa, Backup ni muhimu sana.

🀣🀣🀣
 
Ngumu sana main server na backup server kujam kwa pamoja.
Ikitokea hivyo sijui itakuwaje 🀣🀣🀣

Ikitokea hivyo basi recovery cloud server inaingia mzigoni 😊
 
Mie mama watoto nishamwambia tugombane sisi, lakini sio vikojoleo vyetu, hakuna kukosana ambako hatupeani uroda.. na mara nyingi baada ya game ugomvi unakuwa umeisha, hawezi maliza gemu asitabasamu, HAIWEZEKANI, atajichekesha na vimaneno vya hapa na pale, akitabasamu, ugomvi ndio umeisha rasmi
 
Backup ya fedha ndio kila kitu.
Unaweza fanya chochote unachotaka kwa muda wowote.
Na hapo mwanamke akishakusoma kuwa ni ngumu kupata alternative hakuna rangi ataacha kukuonesha.
Hakika mkuu upo sahihi kwenye hoja zote.
 
🀣🀣
 
Backup ya fedha ndio kila kitu.
Unaweza fanya chochote unachotaka kwa muda wowote.
Na hapo mwanamke akishakusoma kuwa ni ngumu kupata alternative hakuna rangi ataacha kukuonesha.
Msiwege mnachanganya masala ya MMU na pesa.
Hii jukwaa ni mahususi kwa masala ya mapenzi na mahusiano
 
Nakazia ujumbe WA mleta mada.
Mwanaume at least unatakiwa uwe na back up in case nyumbani mambo yakiharibika angalau utakuwa na pa kujishikiza wakati unaendelea kurekebisha ya nyumbani kwako
 
AiseeπŸ˜…
 
Hivi deep uliachanaga na ule mchepuko wakoπŸ˜…
 
Nakazia ujumbe WA mleta mada.
Mwanaume at least unatakiwa uwe na back up in case nyumbani mambo yakiharibika angalau utakuwa na pa kujishikiza wakati unaendelea kurekebisha ya nyumbani kwako
Na nyumbani kwako una play wisely
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…