Hawa wake zetu wanaliwa boss sana lakini kwa siri mno.Siwezi kufuatilia mtu, ila nikijua tu amenisaliti..iwe kwa X, Y, au Z njia zetu zitatengania hapo. Tutalea tu mtoto kwa namna itakayowezekana, ye mwenyewe analijua hilo kwa sababu yeye alikua rafiki tu na alikua anamfahamu aliyekua mpenzi wangu ambaye mimi niliachana nae kwa sababu ya usaliti ndo kisha akaingia yeye
Aliwe tu nisijueHawa wake zetu wanaliwa boss sana lakini kwa siri mno.
Hata huku ofisini nayashuhudia haya, watu wananyanduana
hata mimi nimeona, kwa nini hivo boss?
hata wewe bado unaliwa?Sijui kwanini Ex asilimia nyingi huwa hawaachani, naona huwa wanapumzika then penzi la mume ama la mke likipoa tu, wanaanza kutafuta viporo vyao popote pale vilipo kisha wanapasha.
Mimi siyo chakula Mr.,hata wewe bado unaliwa?
😀 😀 😀 basi sawa, lakini bado unagegedwa nje?Mimi siyo chakula Mr.,
Why should I..?😀 😀 😀 basi sawa, lakini bado unagegedwa nje?
Why should I..?
He is everything I was praying and wished for.!
Ni kama nichukue sifa za Ex wangu halafu niziunganishe pamoja ndiyo nampata yeye.!!
hujui faida ya kumjua mwizi wako?Yanini shida yote hiyo mkuu?. Itakusaidia nini ukiwajua?. Apo ni kujitafutia pressure tu ya buree.
The Most Winner
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeua walah, kumbe umeoa?Mi ni mfupi 4'1 mweusi, kibamia, broke.
Kwa kifupi ni amenistiri. Am not gon blow up my chances of at least not dying alone over hiyo komedi unayotaka kunifundisha.
simaanishi hivo boss, nadhani unafahamu faida za kumjua mwizi wako?Personally nilishaachaga kuumiza kichwa na kitu kilicho out of my controll especially mwanamke wew timiza tu wajibu wako ipasavyo fullstop
boss unamaanisha nini?Ukipewa msosi home kula at kama umeshiba
Sioni faida yake, mana ukimjua ni lazima furaha yako itapotea tu. Kama anakupa furaha, anatimiza wajibu wake baki tu kujua kuwa huyu ni mume wangu na ananipenda au huyu ni mke wangu na ananipenda basi lakini si kuwaza vinginevyo kuwa muda huu mwenzangu anachepuka au yuko na mtu fulani, hautakuja kuwa na furaha kamwe...ishi kama uko peke yako hakuna mwenzako na siku ukishuhudia kwa bahati mbaya ndipo unatakiwa kufanya maamuzi papo apo bila kuweweseka au kujiuliza mengine. Mi huwa nipo hivyo, mpenzi wangu huwa namuona ni wa kwangu tu peke yangu, huwa simuwazii mabaya eti anachepuka. Ila siku nikianza kuona utofauti na ninashughudia. Huwa natoa maamuzi ya haraka sana. Tena naweza ata nisimwambie ila upendo moyoni unatoka tu wenyeweee atakuja gundua taratibu taratibu.hujui faida ya kumjua mwizi wako?