Wanaume tuliooa ni vizuri tukawajua ma-Ex wa wenza wetu. Hawa watu wanatuchapia sana wake zetu

mkuu hili sio ndio balaa sasa
Hapana, ukiona Simba inaifunga yanga alafu yanga wanaiombea simba mabaya hawajui hao, jifunze mbinu za mshindani wako, ongeza bidii mpite.

Nimejifunza wanaume wengi hawapendi "mabonge nyanya" , wanapenda vitoto potabo.

Wanaume wengi wanapenda wanawake wenye kujua kuvaa!
Wanaume wengi wanapenda kubembelezwa!, hata akikosea mwambie kwa upole ila sassa unakuta ji-mke likisha olewa linajua limefika , linaharibu ndoa lenyewe!
 
hapo sawa lakini ile kufatilia simu ya mkeo haha, mara unakutwa kaombwa tigo na kakubali kutoa
 
Kabla ya kuwajua ma ex wa mkeo mwambie kwanza wakwako ili iwe rahisi kwenda pamoja
 
kweli mkuu, hawa watu sio wazuri kabisa
Mwishowe unakutana na visipotakiwa miaka 4 hujui huko kapita wapi na wapi watu wanaamini sana condom, kwa tabia hizi mmm magonjwa hayatatuacha, mkewe kabaki nyumbani anamuombea mme yupo seminar [emoji23][emoji23][emoji23] kumbe anahangaika na ma ex wake shenzy kabisa
 
unadhani condom boss, hapo mtu kapigwa nyama tu na akipatikana mtoto basi mume ataambiwa wake🙁🙁
 
Hapana, ukiona Simba inaifunga yanga alafu yanga wanaiombea simba mabaya hawajui hao, jifunze mbinu za mshindani wako, ongeza bidii mpite.

Nimejifunza wanaume wengi hawapendi "mabonge nyanya" , wanapenda vitoto potabo.

Wanaume wengi wanapenda wanawake wenye kujua kuvaa!
Wanaume wengi wanapenda kubembelezwa!, hata akikosea mwambie kwa upole ila sassa unakuta ji-mke likisha olewa linajua limefika , linaharibu ndoa lenyewe!
Swala la kuvaa umemnunulia mke viwalo kashindwa kuvaa? Kipotable kwa hiyo umri hautaongezeka na hao watoto anaozaa anawatunzia wapi mpaka waje kuonekana duniani? Acha ubinafsi mwanamke naye binadamu siku nawewe ukayumba kiafya nawewe uwekwe pembeni!
 
mume kuchepuka japo ni kosa lakini sio dili kama mke kuliwa nje.

mke uliwe nje? Walai hili kosa halisameheki kamwe
Hilo jibu lako mbona limekaa kisiasasiasa! Ni kosa lakini siyo dili!
 
Back
Top Bottom