- Thread starter
- #101
mkuu shida nini😛Aisee huu uzi umewekwa sticky? Kuna mods alichapiwa na ukamgusa moja kwa moja akaona isiwe tabu auweke sticky Maxence Melo Spiderman Moderator Paw
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu shida nini😛Aisee huu uzi umewekwa sticky? Kuna mods alichapiwa na ukamgusa moja kwa moja akaona isiwe tabu auweke sticky Maxence Melo Spiderman Moderator Paw
Hapana, ukiona Simba inaifunga yanga alafu yanga wanaiombea simba mabaya hawajui hao, jifunze mbinu za mshindani wako, ongeza bidii mpite.mkuu hili sio ndio balaa sasa
You said it all mkuu.Kikubwa ni kupata mwenza mwenye hofu ya Mungu .
hapo sawa lakini ile kufatilia simu ya mkeo haha, mara unakutwa kaombwa tigo na kakubali kutoaHapana, ukiona Simba inaifunga yanga alafu yanga wanaiombea simba mabaya hawajui hao, jifunze mbinu za mshindani wako, ongeza bidii mpite.
Nimejifunza wanaume wengi hawapendi "mabonge nyanya" , wanapenda vitoto potabo.
Wanaume wengi wanapenda wanawake wenye kujua kuvaa!
Wanaume wengi wanapenda kubembelezwa!, hata akikosea mwambie kwa upole ila sassa unakuta ji-mke likisha olewa linajua limefika , linaharibu ndoa lenyewe!
kwani chief unadhani hili ni suala dogo?Naona Huu uzi umewekewa stick kabisa si mchezo
Aisee ni kubwakwani chief unadhani hili ni suala dogo?
ewaaaaaaaa hapo sawaAisee ni kubwa
Na tuliooa ma bikra je
unajua dhambi isiyosameheka kwenye ndoa, ni mke kuliwa nje?Kabla ya kuwajua ma ex wa mkeo mwambie kwanza wakwako ili iwe rahisi kwenda pamoja
Na mume kuchepuka?boss kwa hiyo kuchapiwa na Ex ni siri ya ndani?
Kumbuka
Dhambi isiyosameheka kwa mwanaume ni mke kuchepuka
mume kuchepuka japo ni kosa lakini sio dili kama mke kuliwa nje.Na mume kuchepuka?
Mwishowe unakutana na visipotakiwa miaka 4 hujui huko kapita wapi na wapi watu wanaamini sana condom, kwa tabia hizi mmm magonjwa hayatatuacha, mkewe kabaki nyumbani anamuombea mme yupo seminar [emoji23][emoji23][emoji23] kumbe anahangaika na ma ex wake shenzy kabisakweli mkuu, hawa watu sio wazuri kabisa
unadhani condom boss, hapo mtu kapigwa nyama tu na akipatikana mtoto basi mume ataambiwa wake🙁🙁Mwishowe unakutana na visipotakiwa miaka 4 hujui huko kapita wapi na wapi watu wanaamini sana condom, kwa tabia hizi mmm magonjwa hayatatuacha, mkewe kabaki nyumbani anamuombea mme yupo seminar [emoji23][emoji23][emoji23] kumbe anahangaika na ma ex wake shenzy kabisa
Swala la kuvaa umemnunulia mke viwalo kashindwa kuvaa? Kipotable kwa hiyo umri hautaongezeka na hao watoto anaozaa anawatunzia wapi mpaka waje kuonekana duniani? Acha ubinafsi mwanamke naye binadamu siku nawewe ukayumba kiafya nawewe uwekwe pembeni!Hapana, ukiona Simba inaifunga yanga alafu yanga wanaiombea simba mabaya hawajui hao, jifunze mbinu za mshindani wako, ongeza bidii mpite.
Nimejifunza wanaume wengi hawapendi "mabonge nyanya" , wanapenda vitoto potabo.
Wanaume wengi wanapenda wanawake wenye kujua kuvaa!
Wanaume wengi wanapenda kubembelezwa!, hata akikosea mwambie kwa upole ila sassa unakuta ji-mke likisha olewa linajua limefika , linaharibu ndoa lenyewe!
Hilo jibu lako mbona limekaa kisiasasiasa! Ni kosa lakini siyo dili!mume kuchepuka japo ni kosa lakini sio dili kama mke kuliwa nje.
mke uliwe nje? Walai hili kosa halisameheki kamwe
Ila mme kula nje inakubalika?mume kuchepuka japo ni kosa lakini sio dili kama mke kuliwa nje.
mke uliwe nje? Walai hili kosa halisameheki kamwe
😛 😛 😛 😛Hilo jibu lako mbona limekaa kisiasasiasa! Ni kosa lakini siyo dili!