Tatzo watu humu wanakurupuka sana, huu mtandao ni risk sana kutanguliza hisia za mapenzi kwa mtu usiemjua, kuna wengi humu huweka Picha za ndugu zao wa kike ama wengine ID zenye mionekano ya kike, sasa papara la vijana kuzama PM bila kujithibitishia jinsia ya wanaemfuata inbox malalamiko ndio hayo.
Ningeshaur tuache lawama kwa watu tusiowajua badala ake kama mtu anataka mahusiano atafute mtaan kwake ama platform zngne zenye uhalisia wa watu, humu mtaishia kulaumu sana, na hiv wengine wanatapeliwa mpaka pesa za nauli na hizo ID zenye mikanganyiko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].