Wanaume tuliopo chuo, wenye sura mbaya na hatuna hela CHAPUTA ni mkombozi wetu

Kuna manzi nilikuwa na chati naye vizuri tu, lakini baada ya kutuma picha, dp yake nimeona blank, probably itakuwa shida ni sura mbaya imemkimbiza.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂 Nimecheka kaa fala hivyo kakulima block huyo mkuuuu

Move on asee
 
Wasaalam wa ndugu new member hapa

Nipo zangu chuo mwaka wa 2 sasa dsm lakini appearance yangu ni mbovu pamoja na kuwa hela sina na ni mfupi pia 153cm

Aseee nishakajiweka mbali na mademu kabisa sababu nilishakatliwa kwanzia shule ya msingi hivyo I'm used to it

Lakini nimekuja gundua puchu ni tamu sana na haina cost yoyote itoshe kusema puchu the ndio kimbilio langu

Wanaume wenxangu tuliopo chuo kama mna character kama zangu na hamna hela karibuni chaputa hamtojuta kabisa 😁😁😁😁😁😁

View attachment 2585854

Edit:: mrejesho nimeamua kuacha puchu sasa kwa muda wa miaka 30 maana kuna mwanangu hapa chini imeshamcost 👇👇👇👇👇👇👇👇

Unyonge huo
 
Pole sana mkuu...kama vyote huna jitahidi uwe hata unajichetua, vituko..comedy nyingi unaweza pata pisi moja ukapiga kimasihara.
 
Wasaalam wa ndugu new member hapa

Nipo zangu chuo mwaka wa 2 sasa dsm lakini appearance yangu ni mbovu pamoja na kuwa hela sina na ni mfupi pia 153cm

Aseee nishakajiweka mbali na mademu kabisa sababu nilishakatliwa kwanzia shule ya msingi hivyo I'm used to it

Lakini nimekuja gundua puchu ni tamu sana na haina cost yoyote itoshe kusema puchu the ndio kimbilio langu

Wanaume wenxangu tuliopo chuo kama mna character kama zangu na hamna hela karibuni chaputa hamtojuta kabisa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

View attachment 2585854

Edit:: mrejesho nimeamua kuacha puchu sasa kwa muda wa miaka 30 maana kuna mwanangu hapa chini imeshamcost [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Sooner than time you will start demanding ushoga [emoji24][emoji24], vijana wa Hovyo Sana nyie,bila ndoa,chizi Kama wewe ungezaliwa?
Ondoa kwanza hiyo inferiority complexity yako then fanya maaamuzi sahihi, jikubali kwamba you are enough [emoji24][emoji24]
 
Mondi kaoa 🤔?
Je hana mtoto?

Mimi mwenyewe sio mtoto wa mke wa ndoa ni mtoto wa nje mkuu kama ulikuwa hujui 😔
 
Sooner than time you will start demanding ushoga [emoji24][emoji24], vijana wa Hovyo Sana nyie,bila ndoa,chizi Kama wewe ungezaliwa?
Ondoa kwanza hiyo inferiority complexity yako then fanya maaamuzi sahihi, jikubali kwamba you are enough [emoji24][emoji24]
I doubt your ability to reason. How can you link a person's ugliness to the demand for homosexuality?
 
Wasaalam wa ndugu new member hapa

Nipo zangu chuo mwaka wa 2 sasa dsm lakini appearance yangu ni mbovu pamoja na kuwa hela sina na ni mfupi pia 153cm

Aseee nishakajiweka mbali na mademu kabisa sababu nilishakatliwa kwanzia shule ya msingi hivyo I'm used to it

Lakini nimekuja gundua puchu ni tamu sana na haina cost yoyote itoshe kusema puchu the ndio kimbilio langu

Wanaume wenxangu tuliopo chuo kama mna character kama zangu na hamna hela karibuni chaputa hamtojuta kabisa 😁😁😁😁😁😁

View attachment 2585854

Edit:: mrejesho nimeamua kuacha puchu sasa kwa muda wa miaka 30 maana kuna mwanangu hapa chini imeshamcost 👇👇👇👇👇👇👇👇

Sasa unakataa ndoa wakati we mwenyewe unakataliwa 🤣🤣
 
Back
Top Bottom