Wanaume tuliopo chuo, wenye sura mbaya na hatuna hela CHAPUTA ni mkombozi wetu

Wanaume tuliopo chuo, wenye sura mbaya na hatuna hela CHAPUTA ni mkombozi wetu

Wewe kwanza soma pata pesa.

Wanaume wafupi sura private ndo wanaongoza kuoa wanawake warefu na warembo.
Mmmmmh acha zako ww mi najua hata nikipata hela 💰💰💰💰 nita attract malaya tu mkuuu

Nina wenzangu chuoni wana vihela vya kawaida ila bado mademu wanawahonga pesa ili wawe nao

Mi natafuta hela ili nisaidie masikini mkuuu

Sio kwa ajili ya wanawake ntatafuta mmoja nimpe. Hela anizalie nimtupe huko
 
Sasa unakataa ndoa wakati we mwenyewe unakataliwa [emoji1787][emoji1787]
Unaweza uka - support kitu ambacho kinakukataa? Unakutana na mwanamke anakuambia sitaki uniharibie kazazi changu, nataka watoto wangu waoe na kuolewa[emoji23].

Dawa ni jino kwa jino, ingawa tunafahamu kwanini tunakataa ndoa.
 
😅😂😂😂 Kwa kweli umenena
 
nataka watoto wangu waoe na kuolewa
emoji23.png
.
Huyu aendelee kuto..mba mkono tu🤣
 
Daaah hizi sura hizi achana nazo asee

Ni full tafrani tupu [emoji281][emoji281][emoji281] nishawahi kumchekea mtoto mdogo akaanza kulia mkuuu just imagine

[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23] mtoto alikuwa anafikiria amevamiwa na nyani nini?

Nimeona watu wanasema tujikubali, sijuhi wanataka tujikubali kivipi?

Nafahamu by mere factor ya kujitambua sis sura zetu ni mbaya, tumeshakubali hali yetu.
 
Imagine una miaka 20 unasura kama hii hivi ukimchekea mtoto si full tafrani mkuu 😅😅

Screenshot_20230413-065116~2.png
 
Back
Top Bottom