Wanaume tuliowahi kupata gono tukutane hapa

Ndo hiyo naskia sindano Yake KUBWA Kama ya ng'ombe?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hapana huwa tunatumia syringe za kawaida za 10cc ila ile dawa huwa nyingi kwa dozi moja, so inabidi kugawa mara mbili, so dozi moja nusu tako la kushoto nusu la kulia, nakuhakikishia ukipigwa penadur lazima ujutie uhuni wako πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Sasa hivi na ndoa.. speed imeshuka zero πŸ˜…πŸ˜… naogopa sana peleka shida ndani ya ndoa.. nampenda mke wangu na familia ambayo tumeanzisha..
Hata hivyo mie ni muumini wa mwanaume mwenye experience idadi yake ya kutosha means atakuwa kapitia kwingi kaona za kila namna wengi wakiamua kutulia hutulia kweli,,
 
Hata hivyo mie ni muumini wa mwanaume mwenye experience idadi yake ya kutosha means atakuwa kapitia kwingi kaona za kila namna wengi wakiamua kutulia hutulia kweli,,
Basi kuna kutulia basi, tunalinda heshima ya ndoa na lazima kuheshimiana.. tunatamani sana kupiga nje.. ila ukifiria risk zake.. unaamua kujituliza unaenda ipasua ya homeπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… sema sasa hivi ndio nipo kwenye mtihani miezi sita sitakiwa mgusa mwenzangu.. sasa sijui nitatoboaa na majaribuu ni meeengi
 
Jitahidi utoboe nitakukumbuka kwa maombiπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Miezi sita bila mbususu si bora ukufe tuu mwanawane sasa maisha yana raha gani bila kugegeda
 
Miezi sita bila mbususu si bora ukufe tuu mwanawane sasa maisha yana raha gani bila kugegeda
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… hapa mwanawane siungani mkono na wewe 🀣🀣🀣 acha nitulie tu miezi sita kitu ganii atakuna na bao amazing sanaaa lilochochakukaaa atalisikia hadi kooni litapotoka πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…