Nakumbuka hapo mlandizi nikiwa nawakula dogo dogo mitaa fulani nyuma ya (kauli ya bibi bar) nililikwaa Gono kwa kadem flani kadogodogo,keupe,kazuri,chuchu mchongoma....haukadhanii kabisa aisee...
Kwenda kwa dokta akaniandikia madawa kibaao bili ikaja 51,000 huyu dokta tulikuwa tukikutana nae saana kauli ya bibi kwenye kumwagilia moyo vile vitu vyetu....
Alinichukulia nna hela saana...... nikamwambia dokta, labda ukae na leseni yangu I'll pay you end of the month...but for now I have only 11,000 only! in my pocket...
Nikashangaa anachenchi karatasi na kuandika andika madawa anayoyajua akanipa....
Madokta wa kisasa wa siku hizi Bwana unakadiriwa bei ya dawa kulingana na muonekano wako! wanajua wakuandikie dawa za kiasi gani, wanajua hautaruka! ...ukikaza! wanajifanya wanabadili dawa kumbe ni dawa zilezile...
All in all nilipona Gono within 2 days...