Wanaume tuliowahi kutongozwa tujuane

#Kiongozi hawa viumbe wakipenda hawana uvumilivu ata punje#
 
Mwanaume anaetongozwa na kusimulia simulia ni hovyo kabisa [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]!!!
Sio kweli maana tumezoea mwanaume ndo anatongoza ,,Leo mwanamke anatongoza kwa nn usiwe Uzi pendwa
Rejea ule uzi wetu pendwa [emoji1376][emoji1376][emoji1376] #umewahi kula tunda kimasihara#
 
Wanaume wagumu tupo wachache sana tena mimi kabisa ateme mistari sijui anaanzia wapi

Labda kujilengesha tu ili mukichwa kwangu kutiki lakini siyo kitema mistari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aliyejaribu kutema mistari niwaachiaga machozi tu

Lkn anayejilengesha huwa naona dharau

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Kiongozi nakuomba uweke kisa kimoja katika uzi huu tafadhali [emoji1376][emoji1376]
 
Kiongozi nakuomba uweke kisa kimoja katika uzi huu tafadhali [emoji1376][emoji1376]
Kuna bidada alikua ni mteja mzuri sana wa bidhaa zangu na mwaminifu,tulipatana mtandaoni ila tulikua hatufahamiani kwa sura.
Iko siku nilikua na order kubwa napeleka mkoa wake,na yeye akaunganisha na za kwake sababu nilimpa taarifa nina safari ya kwenda huo mkoa kama anakitu anahitaji nimbebe haita mgharimu pesa ya usafiri.
Alikua busy sana so alipata nafasi mida imekwenda ila sikujali nilimpelekea bidhaa zake.
Kwenye malipo aliniambia hiyo sehemu siyo salama sana niingie kwenye gari nihakiki pesa zangu.
Niligoma sababu nilikua namwamini nilitaka anipe tu nitahakiki mbele ya safari.
Alinisisitiza niingie,nikagoma "Ambition mbona mwoga mwoga kama sio mwanaume bana".
Liwalo na liwe nikaingia.

Aisee sijui alipata wapi ujasiri,alianza kunisifia marashi,akitaka kujua yanauzwa wapi,mara umependeza unaonekana unajipenda sana,mara sauti yako haifanani na wewe,huyo dada ulienae anafaidi kweli kuwa na mwanaume kama wewe, blah blah kibao.

Aliniganda kama ruba simu kila saa kila dakika mpaka nikajuta kuonana nae.
Na ikawa ndio mwanzo wa kupoteza mteja mwaminifu.
 
Daah pole Sana kiongozi,Hawa viumbe wang'anganizi Sana
 
Umezidisha mdalasini kwenye hii chai, yaan pikipiki ina move mtu kabadili mkao
 
Umezidisha mdalasini kwenye hii chai, yaan pikipiki ina move mtu kabadili mkao
Nimenena vitu real mkuu hakukuwa na profit yoyote kuongeza mambo ambayo hayakutokea , ukweli hicho kitendo sijawah kukutana nacho na ni mara ya kwanza anyway hata mh jiwe alipokuwa hai na angali madarakani mlimuita dikteta na majina mengi ya hovyo ila alipofariki na uongozi wa nchi kwenda kwa mama yetu nae alipoanza na balaa la tozo ndo mkajirudina kujua kuwa mh jiwe alikuwa MTU MWEMA NA SIO DIKTETA TENA,
Ebana amini unavyoamini .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…