Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,095
- 13,016
Hatupo busy na mambo yetu kama wanaume ndio maana tunalalamika na Kuna wakati tunawalalamikia Ili Hali hatuwajibiki kama ilivyokuwa kwa wazee wetu zamani...Tunapenda mteremkoWanaume wenzangu malalamiko dhidi ya wanawake ni mengi sana humu jamvini, hasa usaliti nini kifanyike?
Nyuzi za wanawake kulalama dhidi yetu ni chache sana, wanaume wenzangu hawa viumbe wametukama wapi na inaonekana hakuna jeuri zaidi ya kulalama. Wenye pesa wanalalama, wasio na pesa wanalalama.
Wafupi wanalalama, warefu weusi wanalalama 🤔
Mbona zinauzwa bei za kizawa Kabisa 😆😆Malala miko yetu yapo kwenye bei za Bia🍻
Hii ndio wanasemaga Kalewa kazima wenzake wameondoka ---Wafupi wanalalama, warefu weusi wanalalama 🤔
😆😆Hii ndio wanasemaga Kalewa kazima wenzake wameondoka ---
Vichwa vyetu ni vigumu, unakuta we mwenyewe unaandika hivi ukitoka hapa unampigia single mother unambembeleza.Wanaume wenzangu malalamiko dhidi ya wanawake ni mengi sana humu jamvini, hasa usaliti nini kifanyike?
Nyuzi za wanawake kulalama dhidi yetu ni chache sana, wanaume wenzangu hawa viumbe wametukama wapi na inaonekana hakuna jeuri zaidi ya kulalama. Wenye pesa wanalalama, wasio na pesa wanalalama.
Wafupi wanalalama, warefu weusi wanalalama 🤔
Jana wakati nakatisha mitaa nikakutana na masai wawili mmoja akaanza kunizongazonga ananiambia sikia rafiki nina dawa ya mademu hapa vipi nikupe? Mimi nikawa km sijamuelewa akarukia mwenzie anasema dawa ya wanawake kumtuliza na kumfanya unavyotaka ni nzuri unampata mwanamke yoyote na hakukatai vipi akupe? Nikamwambia hapana mimi sihitaji dawa mimi mwenyewe dawa nawatibu vilivyoHatupo busy na mambo yetu kama wanaume ndio maana tunalalamika na Kuna wakati tunawalalamikia Ili Hali hatuwajibiki kama ilivyokuwa kwa wazee wetu zamani...Tunapenda mteremko
Vichwa vyetu ni vigumu, unakuta we mwenyewe unaandika hivi ukitoka hapa unampigia single mother unambembeleza.
Wanahitaji maombi ya kufunga,bila hivyo tutaendelea kulialia....Wanaume wenzangu malalamiko dhidi ya wanawake ni mengi sana humu jamvini, hasa usaliti nini kifanyike?
Nyuzi za wanawake kulalama dhidi yetu ni chache sana, wanaume wenzangu hawa viumbe wametukama wapi na inaonekana hakuna jeuri zaidi ya kulalama. Wenye pesa wanalalama, wasio na pesa wanalalama.
Wafupi wanalalama, warefu weusi wanalalama 🤔
ni muhimu sana kua wastahilivu na wenye subra katika mahusiano.Wanaume wenzangu malalamiko dhidi ya wanawake ni mengi sana humu jamvini, hasa usaliti nini kifanyike?
Nyuzi za wanawake kulalama dhidi yetu ni chache sana, wanaume wenzangu hawa viumbe wametukama wapi na inaonekana hakuna jeuri zaidi ya kulalama. Wenye pesa wanalalama, wasio na pesa wanalalama.
Wafupi wanalalama, warefu weusi wanalalama 🤔
unawatibu kina nani? Hata sijawahi kukuona unamfukuzia dem hapa jamvini labda kama una parody!Jana wakati nakatisha mitaa nikakutana na masai wawili mmoja akaanza kunizongazonga ananiambia sikia rafiki nina dawa ya mademu hapa vipi nikupe? Mimi nikawa km sijamuelewa akarukia mwenzie anasema dawa ya wanawake kumtuliza na kumfanya unavyotaka ni nzuri unampata mwanamke yoyote na hakukatai vipi akupe? Nikamwambia hapana mimi sihitaji dawa mimi mwenyewe dawa nawatibu vilivyo
Usibishe nyuzi nyingi ni za malalamiko zinatoka kwenu!Yaan kupitia mada na maoni ya jamvini ndo umefanya conclusion hiyo? Yaan jukwaa ambalo halina hata users 5000 wenye multiple IDs na hawana utambulisho rasmi ndo umetumia kugeneralise tabia za wanaume?
Hua mnajuaje kwamba hao ni wanaume?Usibishe nyuzi nyingi ni za malalamiko zinatoka kwenu!