Wanaume tuoneeni huruma tu, inawezekana kweli tunawakosea

Yani ni fala sana aiseh..haiwezekan hata kidogo..

Sijui kapewa nini na kile kibetina🤣🤣🤣

Halafu sasa mkewe ni mzuri mno kuliko huyo mambo wa nchi kavu.kisomali kizuuuri chenyewe 😘😘kina weusi mtamu balaa..
Hakika wanaume hawawezi ridhika hadi ukamilifu wa dahari
 
😍 Chakorii siku ingine usiulize yasiyo kuhusu.
😂tatizo la michepuko wanajua kuchongoa kalamu inavyotakiwa hatari sana 😋wanaume si wanafanya yote kwa kutaka au ni akili yao basi tu inatokea!
 
Huyo atakuwa choko tu lakini Mungu hamfichagi mnafiki huyo mke atazipata na hao vipanga wataumbuka, kwahiyo ananyanyasika sababu ya kunyonyesha kwani huyo mtoto si wamezaa wote mbwa kabisa tena alikatwa mkia kama wale wanaohama vyama
 
mwanaume anaetoa siri za ndani kwa mchepuko huyo sio riziki, pia uliposema kalio tu abdallah kichwa wazi alianza kunesa nesa huenda alidhani upo karibu yangu...

Umeshaanza uchizi wako ujue..
 
😍 Chakorii siku ingine usiulize yasiyo kuhusu.
😂tatizo la michepuko wanajua kuchongoa kalamu inavyotakiwa hatari sana 😋wanaume si wanafanya yote kwa kutaka au ni akili yao basi tu inatokea!

Kwa hiyo Wang Shu na wewe pia uko hivyo
 
Mbona una hasira naye Sana?
Miaka kama sita iliyopita nilipitia kwenye mahusiano ambayo Ex-mwamba alikuwa akitoa baadhi ya mambo yetu kwa huyo local chic wake😫😫😫it pains to say walah😭😭😭😢😢😢

Hiyo hali ikapelekea moyo wangu kuwa mgumu kuwa kwenye mahusiano ya kudumu.najionea tabu tupu.

So nilichokiona na kukisikia kikaamsha ghadhabu moyoni mwangu.
 
Huyo atakuwa choko tu lakini Mungu hamfichagi mnafiki huyo mke atazipata na hao vipanga wataumbuka, kwahiyo ananyanyasika sababu ya kunyonyesha kwani huyo mtoto si wamezaa wote mbwa kabisa tena alikatwa mkia kama wale wanaohama vyama
Ni mke wa ndoa kabisa na mtoto ni wa kwao huyo mme na mke..sijui kakumbwa na nini jaman..

Mke anasafari ndefu mtoto ndo kwanz ana week kadhaa tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…