Hakika mkuu umenena vyema🥂🥂Moja ya sifa ya mwanaume kama kichwa cha familia ni kukabiliana na kutatua changamoto zinazoikabili ndoa yako na familia yako kwa ujumla!
Tukio la kutoka nje ya ndoa na kuweka wazi mambo yake nyeti ya ndoa ni alama kuwa huyo mwanaume hajakomaa kiakili na hakupaswa kuoa achilia mbali kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi!
Nb;
ni wavulana pekee ndio wanawaza kuwa muunganiko wa ndoa ni kwa ajili ya ngono pekee!
Tunaachaje sasa wakati tunawindwa mithili ya swala...
Kama Samson tu na miguvu yakw yote ya kuua mpaka Simba lakini kwa delila hakufua dafu,akaishia kutobolewa macho! Mimi ni nani hata niweze kushinda ushawishi wa mwanamke mzuri...
Yaani kitu pekee wake zetu mnapaswa kufanya ni kutusamehe na kutuombea
Kanywesha chai iliyochujiwa na chupi,au kala nyama iliyokaa ukeni huyo msela.Huwez mfanyia hivo kiumbe kilichokubali kasoro zako zote uishi nae kufa na kupona.
Mimi tuu main chick ninavompa heshima sijui nitapooa.Mwambie huyo mdada zamu yake yaja labda akae bila kuolewa paka awe kikongwe.
Ooohoooo!Kujiendekeza tu..[emoji57][emoji57]
Mnamchokonoa shetani kwa nguvu kabisa
Wow, pole na sahau yaliyopita! Wengine sisi tunapenda baki kwenye Lami huko kwingine makorogesheni lanasababisha kwichikwichi nyingi ambayo matengenezo yake ni gharama kubwa Sana! Kubakia kwenye Lami ndio mpango mzima japo Nako kwenye Lami saa zingine wanaweka ma speed bump kwa kukomoana!Miaka kama sita iliyopita nilipitia kwenye mahusiano ambayo Ex-mwamba alikuwa akitoa baadhi ya mambo yetu kwa huyo local chic wake😫😫😫it pains to say walah😭😭😭😢😢😢
Hiyo hali ikapelekea moyo wangu kuwa mgumu kuwa kwenye mahusiano ya kudumu.najionea tabu tupu.
So nilichokiona na kukisikia kikaamsha ghadhabu moyoni mwangu.
Sawa mkuu umeeleweka.Ooohoooo!
Sio kujiendekeza,ndivyo tulivyo...
Kama unasoma maandiko utanielewa,lakini Kama unataka iwe unavyotaka wewe basi utaendelea kusubiri Sana...
Hivi hauoni katika maandiko tangu enzi za babu yetu adamu?
Babu Adamu aliangushwa na mwanamke,tangu hapo wengine weeeengi waliishia kuangushwa na wanawake...kwa hiyo mkianza nyinyi kubadilika na kuacha kabisa kututega tega basi hayo yoote yataisha automatically
Sio tu kwa mke lakini kwa upande wangu huwa naona ni ushamba kuanika mambo wazi hata tu ya yule mwanamke ulieachana nae(×) kwa mtu wa aina yoyote yule awe mpenzi mpya,mchepuko au mama yako.
Acheni huu ujinga[emoji34][emoji34][emoji34] ukimshindwa mtu achana nae kimya kimya hicho kichwa hukupewa kama pambo jaribu kukitumia vizuri.
Ajiandae,kwani hata yeye akishachokwa au kuachana na huyo mchepuko ataanikwa madhaifu yake kuliko hayo ya mkewe.Iko hivi,If you give a good thing to the world, then over time your karma will be good and vise versa...
Kuchepuka ni sunna ila naiambiaga michepuko live
usijaribu kufyetua kidomo domo chako ukamsema mke/mpenzi wangu
au mwanangu vibaya maana siku ninayosikia au hisi umefanya hivyo
sio tu ntakuacha ila ntakuzabua na makofi ili breakup inoge zaidi.