Wanaume tuoneeni huruma tu, inawezekana kweli tunawakosea

Wanaume tuoneeni huruma tu, inawezekana kweli tunawakosea

Pole sana bibie.
Ila usiku hamu ya kula si umepata?
Pia kitaa chetu kesho wanapima kifua kikuu.Njoo upime.
 
Chochote huyo mwanaume anachofanya hakina mwisho mwema.
Wanaume wengi wanafanya upuuzi sana nje ya ndoa lakini wengi hawapo tayari kuhusisha upuuzi wake na mke aliyemwacha nyumbani.
 
Chochote huyo mwanaume anachofanya hakina mwisho mwema.
Wanaume wengi wanafanya upuuzi sana nje ya ndoa lakini wengi hawapo tayari kuhusisha upuuzi wake na mke aliyemwacha nyumbani.

Kweli kabisa mkuu..
 
Nitamwambia madhai ya mke wangu. Ila pia ama namba ya mke wangu huipati ngo.

Kwa ni lazima kumwambia yamhusuyo mkeo??mwambie unafamilia na unaipenda familia yako lkn umeamua kuwa na yeye.mahusiano ya nje yasihusishwe na familia kwa namna moja au nyingine
 
Yaani wewe una hangaika na hawa wanaume, vituko vyao hata shetani anawashangaa.

Kwakweli aise...
Naona shetani kunawakati anakaa pembeni a kusema huyu si mimi kabisa😅😅
 
Back
Top Bottom