Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,979
- 3,105
Mostly mnatuzingua, hamtuelewi wala hakuna sababu nyingine zaidi! Sasa ujue wanaume wengi hawapendi mvutano na wanawake, so wanaamua kuchukua hamsini zao mbele kwa mbele!
Ni kweli mkijadiliana mnaweza mkapata suluhisho lakini kwa maisha ya sasa ni nadra sana, maisha yanapokuwa magumu kwa sasa ndoa au mahusiano huyumba hivyo kwa mwanaume jasiri atasimama kidete labda mwanamke mwenyewe aondoke lakini kama mwanaume si jasiri ,mwoga wa maisha na aonaye aibu juu ya hali duni ya familia yake (huenda alikuwa tajiri sasa kafilisika) huyo uwezekano mkubwa ni kuikacha familiamaisha magumu huenda si sababu ya msingi sana lakini huchangia pia kwa kiasi chakemie hii hoja ya ugumu wa maisha afu mtu anatake advantage ya kusaidiwa na mtu baki mie binafsi siiafiki hata kidogoivi kwani ukikaa tukajadiliana hatuwez kufikia suluhisho?
ivi unamuoa mtu afu unakuja kumtelekeza eti kakukosea kweli wewe uko na huruma?
mmh mie nisiseme sana kuhusu ilo la vitamu kuharibu akili ila nije kwenye kuhurumiwa, ivi kweli unataka huruma kwa mtu uliyemtenda?
ivi kwani ukikaa tukajadiliana hatuwez kufikia suluhisho? = = =this is condition namba moja kwanini baba c amekuchagua among others! Kama hajawahi kukuambia, basi leo nakuambia kwa niaba yake. Kama yupo home hapo muuonyesha hii comment uone atakavyokupa busu kuuuubwa! Hivyo habari ya love me as i am ni nadharia tu! Kwann hujwahi kusikia wadada wakisema ooohhh mara me huyu yupo hot na blah blah kibao...hizo ndo conditions zenyewe attached and must be maintained throughout!
Wanawake pia wanaacha wanaume kisailensi zaidi...soma kitabu cha bible cha mithali utaelewa ninachomaanisha hapa kuhusu jinsi mwanamke anavyomuacha mwanamme!
Makelele tu yanatutosha kutukimbiza ndoani!
sawa kunapo anapohudumia lkn je hivi akili inakuwa imeshikiliwa ama?
Mwanaume asiyeweza kukabiliana na changamoto huyo ni mvulana. mshaambiwa ishini na wake zenu kwa akili sio mashindano.
na iyo ndo silaha kubwa mnayotumiakiukweli sitegemei huruma kutoka kwake.lakini i know she can forgive me just because i know she loves me. You know we men's knows our women's weaknesses.
sawa makelel yangu yanakukimbiza sasa je wewe as baba utakuwa umemtendea haki mtoto/watoto wako? Na kwann uwe selfish ivyo?
...unajua mpaka watu wanaamua kuachana kaa ufahamukuwa wamejitahidi kila wawezavyo ila imeshindikana. Kuna sababu nyingi sana zinazopelekea haya, moja ni changamoto za maisha, pia mda mwingine ni pressure toka kwa wazazi. Utakuta binti kajifungua na mshkaji amemchukua wanaishi wote ila bado wazazi wana-force wafunge ndoa bila kujua hayo ni mambo yao binafsi na ni vema waachwe waamue wenyewe. Sasa kinachotokea ni wazazi kutompa raha mwanaume, unatoka kwenye miangaiko unarudi home mwenzako analeta topics za ndoa hadi unachoka, ndo unakuwa wimbo wa taifa. Sasa kinachokuja kutokea ni mwanaume kuchoka sabu unajaribu kumweleza mwenzako ila hakuelewi so unaamua mpeane time kila mtu afanye mambo yake binti anarudi kwake na wewe unaendelea na maisha. Mambo haya nimeyaona na yamemtokea mtu wangu wa karibu sana ila naweza sema kwa asilimia kubwa wazazi walipoingilia walisababisha watu watengane. Wadada mnaweza kuja kunishambulia na kusema kwani angemuoa tu hivyo hivyo si wangeishi tu na kupanga mambo yao slowly? Na mimi nauliza mbona hampendi kutupa nafasi, mbn mnapenda kutuburuza na kufanya mambo haraka kwa speed muipendayo. Maana mara nyingi ndoa za dizain hii hazidumu. Hivyo dada gfsonwin, hatuwatelekezaji wake zetu wala watoto wetu wazuri ila mda mwingine mambo haya yakitokea ni vigumu sana kueleza na kueleweka.
nitakuwa sijawatendea haki, na zaidi utakuwa umeshaniharibia mipangilio ya maisha yangu! So, nitakumaindi sana usidhani kama naondoka kwa kupenda ila kwa mateso! Roho inauma maana unaniharibia reputation yangu kama baba! Lkn tufanyeje sasa?
yaani hapa nakupa like 100 ivi wanaporuka viunzi sijui wanakuwa wanawaza watoto hatakua wakubwa hawa?
kwa iyo nyie haya yakiwakuta sabb ni uchawi sio?Narudia tena kusema ndiyo. Unajua mwanamue anafanyiwa vitu vingi sana na mwanamke ili huyo mwanamke amshike huyo mwanaume. Wanaume wengine mpaka wanaendewa kwa waganga ili wasahau familia zao, na anayefanya haya yote ni huyo huyo anayeitwa mwanamke.
gfsonwin ukisoma huu ujumbe kwa utulivu utabaini kuwa maamuzi mengi wanaume wanayafikia kwa sababu ya makelele. Umetoka kwenye mishe huko unafika nyumba ku relax mara topic korofi inaanzishwa, guess what next! Kila mtu anachukua njia yake to cut the story short!...unajua mpaka watu wanaamua kuachana kaa ufahamukuwa wamejitahidi kila wawezavyo ila imeshindikana. kuna sababu nyingi sana zinazopelekea haya, moja ni changamoto za maisha, pia mda mwingine ni pressure toka kwa wazazi. utakuta binti kajifungua na mshkaji amemchukua wanaishi wote ila bado wazazi wana-force wafunge ndoa bila kujua hayo ni mambo yao binafsi na ni vema waachwe waamue wenyewe. sasa kinachotokea ni wazazi kutompa raha mwanaume, unatoka kwenye miangaiko unarudi home mwenzako analeta topics za ndoa hadi unachoka, ndo unakuwa wimbo wa taifa. sasa kinachokuja kutokea ni mwanaume kuchoka sabu unajaribu kumweleza mwenzako ila hakuelewi so unaamua mpeane time kila mtu afanye mambo yake binti anarudi kwake na wewe unaendelea na maisha. mambo haya nimeyaona na yamemtokea mtu wangu wa karibu sana ila naweza sema kwa asilimia kubwa wazazi walipoingilia walisababisha watu watengane. wadada mnaweza kuja kunishambulia na kusema kwani angemuoa tu hivyo hivyo si wangeishi tu na kupanga mambo yao slowly? na mimi nauliza mbona hampendi kutupa nafasi, mbn mnapenda kutuburuza na kufanya mambo haraka kwa speed muipendayo. maana mara nyingi ndoa za dizain hii hazidumu. hivyo dada gfsonwin, hatuwatelekezaji wake zetu wala watoto wetu wazuri ila mda mwingine mambo haya yakitokea ni vigumu sana kueleza na kueleweka.
Uwii ila ukifanya hivyo bado pia utakuwa humtendei haki mtoto wako ujueWengi wanaamini mtoto akiwa mkubwa atamtafuta ila wanasahau wakinamama sikuhizi wanajiweza hata hivyo watoto wanaona wenzao wanavyofurahi na baba zao yeye hata hajui baba anafananaje, inauma sana sana, yaani kama mimi kila siku asubuhi nikiamka na usiku kabla ya kulala ningekuwa nakaa namlisha sumu mtoto kwamba baba yako anauwezo kuliko hata bahresa lakini hakujali, hii ningeifanya kama sala ya siku kiasi mtoto anakuwa na chuki forever hata nikifa asiyumbishwe.
ivi wewe hujaniaharibia mipangilio yangu as mama?
utulivu my footgfsonwin ukisoma huu ujumbe kwa utulivu utabaini kuwa maamuzi mengi wanaume wanayafikia kwa sababu ya makelele. Umetoka kwenye mishe huko unafika nyumba ku relax mara topic korofi inaanzishwa, guess what next! Kila mtu anachukua njia yake to cut the story short!
Wanaume wengi ni watu wa mikakati na mipango wanapenda sana maisha ya utulivu!
Wengi wanaamini mtoto akiwa mkubwa atamtafuta ila wanasahau wakinamama sikuhizi wanajiweza hata hivyo watoto wanaona wenzao wanavyofurahi na baba zao yeye hata hajui baba anafananaje, inauma sana sana, yaani kama mimi kila siku asubuhi nikiamka na usiku kabla ya kulala ningekuwa nakaa namlisha sumu mtoto kwamba baba yako anauwezo kuliko hata bahresa lakini hakujali, hii ningeifanya kama sala ya siku kiasi mtoto anakuwa na chuki forever hata nikifa asiyumbishwe.