Wanaume Tusijiaibishe: Eti kuna mchongo unausikilizia hebu toa Pesa

We jamaa ukapimwe akili, kwanza utakuta huna hata hela hapo ulipo, kujitutumua tu ili mademu wa JF wakuone eti una hela
Na atapata malaya wa ovyo tu hakuna mwanaume mwenye PESA anafanya Huu ujinga either ni kaanza mapenzi hivi karibuni au ni umaskini anajaribu kutoa stress hapa
 
-Straight Talk.
-Free Education.
-Facts.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👋
🤗🤗🤗🤗🤗
 
Na atapata malaya wa ovyo tu hakuna mwanaume mwenye PESA anafanya Huu ujinga either ni kaanza mapenzi hivi karibuni au ni umaskini anajaribu kutoa stress hapa
Kama huna pesa kaungane na wavulana wenzako mkuu, watu tunahonga nyumba mpya, msgari tutashindwa kutoa laki 5 kwa wiki kumsupport hata mafuta tu
 
Laki mbili kisa utelezi!?

Duh
 
Wagense sana ila mbususu zao tamu. Ila bora nipige nyeto lakini sio kuhonga iphone14
 
Hizo hela zenyewe wanazo ? Maana hawawezi kujikakamua kutoa laki 2 ikiwa mfukoni ana afu tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…