Nauli laki 2, anapanda ndege kutoka huko alikotoka na ikiwa wote mpo mkoa mmoja?
Kukutana kimwili ni starehe yetu sote. Kama vile anapohisi katumiwa basi yeye anamtumia mwanaume vile vile maana kama ni mikito basi mwanaume anatumia nguvu zaidi.
Ikiwa kila mnapokutana inabidi alipwe basi huyo sio mpenzi wako. Ni mfanyabiashara ambae pasipokuwa na kujamiiana hapaswi kupewa pesa.
Wanadai wanataka haki sawa, huo usawa uwe mpaka kwenye kujihudumia na kuhudumia wapenzi wao pia.
Demu anatarajia birthday yake umpe iphone14, birthday yako anakupa boxer na vest kwa pesa aliyokuomba wewe mwenyewe.