Mjinga sana mimi
Member
- Aug 18, 2022
- 96
- 331
Lipia Tangazo mkuu.Hivi unajisikiaje kumtumia mtoto wa watu siku nzima halafu unashindwa hata kumpa hela kidogo hata laki 2 tu ya nauli inakushinda? Akikuomba masikini unamjibu eti kuna mchongo unasikilizia. Hii inatuaibisha jamani.
Kwanza inakuwaje mpaka inafikia unaombwa pesa? Hujui kuwa wewe ni mwanaume na ulipaswa kumpa kabla hata hujaombwa? Kama hukuwa tayari kuanza mahusiano si ungetulia tu?
Poleni sana wadada kwa mnayo pitia. Wanaume hebu tujisikie fahari kuhonga mtoto anukie noti mpaka mtu akitaka kumsogelea anajiuliza mara mbili mbili. Tabia za kusikilizia michongo isiyotiki tuwaachie watoto wadogo.