bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Mkishawahonga nao utuhonga sisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nauli ya kutoka Mbeya mpaka Dar es salaam ni 45,000.Hivi unajisikiaje kumtumia mtoto wa watu siku nzima halafu unashindwa hata kumpa hela kidogo hata laki 2 tu ya nauli inakushinda? Akikuomba masikini unamjibu eti kuna mchongo unasikilizia. Hii inatuaibisha jamani.
Kwanza inakuwaje mpaka inafikia unaombwa pesa? Hujui kuwa wewe ni mwanaume na ulipaswa kumpa kabla hata hujaombwa? Kama hukuwa tayari kuanza mahusiano si ungetulia tu?
Poleni sana wadada kwa mnayo pitia. Wanaume hebu tujisikie fahari kuhonga mtoto anukie noti mpaka mtu akitaka kumsogelea anajiuliza mara mbili mbili. Tabia za kusikilizia michongo isiyotiki tuwaachie watoto wadogo.
Niko hapa babyKodi yangu ni ml 3 dollar njoo
Poleni nyieHivi unajisikiaje kumtumia mtoto wa watu siku nzima halafu unashindwa hata kumpa hela kidogo hata laki 2 tu ya nauli inakushinda? Akikuomba masikini unamjibu eti kuna mchongo unasikilizia. Hii inatuaibisha jamani.