Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
- Thread starter
-
- #61
Mpe pesa demu wako apendeze wewe, acha kukwepa majukumu yako toa pesa upewe raha kama huwezi, toa namba usaidiwe.Najua nimekuambia ukweli unauma Pole, upo cheap SANA fukara wewe, muombe MUNGU na FANYA KAZI KWA bidii
Me nashangaa sana sex ni starehe kwa wote mwanamke na mwanaume lkn inaonekana kwa wanaume ndo starehe af wakiitwa chombo cha starehe wanakasirikaNauli laki 2, anapanda ndege kutoka huko alikotoka na ikiwa wote mpo mkoa mmoja?
Kukutana kimwili ni starehe yetu sote. Kama vile anapohisi katumiwa basi yeye anamtumia mwanaume vile vile maana kama ni mikito basi mwanaume anatumia nguvu zaidi.
Ikiwa kila mnapokutana inabidi alipwe basi huyo sio mpenzi wako. Ni mfanyabiashara ambae pasipokuwa na kujamiiana hapaswi kupewa pesa.
Wanadai wanataka haki sawa, huo usawa uwe mpaka kwenye kujihudumia na kuhudumia wapenzi wao pia.
Demu anatarajia birthday yake umpe iphone14, birthday yako anakupa boxer na vest kwa pesa aliyokuomba wewe mwenyewe.
Shida wanaosaidia huwa hawana maneno sasa mbwa mbwa kama wewe unashinda ndani bando shida, kula YAKO shida, ona vijana kama scott pizza wadogo mno wanatembelea marange tunaona wanaenda maldives vacation huna PESA siyo mbaya kubali tu, saidia kwanza familia iondokane na umaskini MUNGU atakubariki,Mpe pesa demu wako apendeze wewe, acha kukwepa majukumu yako toa pesa upewe raha kama huwezi, toa namba usaidiwe.
Hawajageuza tokea mwanzo ni kitega uchumi sema niwewe tu umekuja sanuka juziHatari na kwambia. Hawa wanawake wmegeuza mbususu zao kitega uchumi
Mkuu bado unatoa pesa kupata penzi?????? Mimi nakushauri uoeHivi unajisikiaje kumtumia mtoto wa watu siku nzima halafu unashindwa hata kumpa hela kidogo hata laki 2 tu ya nauli inakushinda? Akikuomba masikini unamjibu eti kuna mchongo unasikilizia. Hii inatuaibisha jamani.
Kwanza inakuwaje mpaka inafikia unaombwa pesa? Hujui kuwa wewe ni mwanaume na ulipaswa kumpa kabla hata hujaombwa? Kama hukuwa tayari kuanza mahusiano si ungetulia tu?
Poleni sana wadada kwa mnayo pitia. Wanaume hebu tujisikie fahari kuhonga mtoto anukie noti mpaka mtu akitaka kumsogelea anajiuliza mara mbili mbili. Tabia za kusikilizia michongo isiyotiki tuwaachie watoto wadogo.
Aisee kumbe ni kitega uchumi basi yako naomba kwa dau la laki unusuHawajageuza tokea mwanzo ni kitega uchumi sema niwewe tu umekuja sanuka juzi
πππ TupoHongera ila hao wanaume hawapo wapo hao wanaosema nasikilizia mchongo
me nakwambia kila siku acha ubahiri usikii,,we haya....π π π πParefu mkuuπ walau buku5 naamini itatosha kabisa....
kuna wadada sio wachoyo tunasaidiana kishkaji tuπme nakwambia kila siku acha ubahiri usikii,,we haya....π π π π
Sawa fukaraAcha kukariri, toa pesa ule vinono.
aisee ππkuna wadada sio wachoyo tunasaidiana kishkaji tuπ
Biashara ni matangazoπππ Tupo
Kodi yangu ni ml 3 dollar njooAisee kumbe ni kitega uchumi basi yako naomba kwa dau la laki unusu
ila we jamaa dahππππmuonee huruma japo kidogo mwenzio,,,, sio kwa ukweli huo mchungu πππππππππππππShida wanaosaidia huwa hawana maneno sasa mbwa mbwa kama wewe unashinda ndani bando shida, kula YAKO shida, ona vijana kama scott pizza wadogo mno wanatembelea marange tunaona wanaenda maldives vacation huna PESA siyo mbaya kubali tu, saidia kwanza familia iondokane na umaskini MUNGU atakubariki,
Shida anajiitutumua halafu angalia vitu vyake anavyopenda kucomment vimejaa ngono, halafu lilivyo kubwa jinga linasema liaonga gari, nyumbila we jamaa dahππππmuonee huruma japo kidogo mwenzio,,,, sio kwa ukweli huo mchungu πππππππππππππ
aisee πππππShida anajiitutumua halafu angalia vitu vyake anavyopenda kucomment vimejaa ngono, halafu lilivyo kubwa jinga linasema liaonga gari, nyumb
Nenda insta mserach huyu jamaa anaitwa mareek_berry anamnunulia mpenzi wake saa ya gold pure pure kabisa wale ndo wenye PESA πππ