Wanaume Tusijiaibishe: Eti kuna mchongo unausikilizia hebu toa Pesa

Nauli ya kutoka Mbeya mpaka Dar es salaam ni 45,000.
Nauli ya kutoka bariadi-Maswa mpaka Dar es salaam ni 65,000
Nauli ya kutoka Dar es salaam mpaka Mtwara ni 25,000 hali kadhalika na Moshi- Kilimanjaro.

Hiyo 200,000/= ni nauli ya kwenda wapi?
Au anapanda Ndege ?
 
Poleni nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…